Kwa niliyoyasikia kwa wahusika waliokutana na dhahama ya Makonda, upo sahihi kabisa.
Alipokuwa RC, watu waliokuwa wanataka kumwona Magufuli kwa yeye kuwafanyia appointment aluwatoza milioni 200 mpaka 400. Baba yake akihitaji hela au yeye akihisi anataka kumpa hela, aliwaamrisha baadhi ya wafanyabiashara wampe pesa baba yake. Na mara nyingi ilikuwa kati ya milioni 20 mpaka 40.
Kwa ujumla, ni kwa sababu tu katika nchi, waovu ndiyo wanaongoza nchi. Ingekuwa ni zile nchi ambazo mtu kuwa kiongozi ni lazima awe mwadilifu, Makonda asingeweza kuwa hata mtendaji wa kijiji.