Kwa changamoto hizi naamini Makonda atakuwa liability zaidi kwa Rais Samia kuliko asset

Yaani watu wanaangaika na CCM kumteua Makonda utadhani wale wote waliomo ndani ya CCM ndiyo wasafi wakati wote Wahuni tu.Sasa mule CCM nani ni asset!,Wabunge wao tu ni kituko cha Karne![emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Halafu akiwa asset, lini upinzani utaitoa CCM madarakani.
 
..hata mimi nimeshangaa.

..hivi Maza kafukuza kazi watu wote wa kitendo cha vetting?

..anamteuaje Makonda? Nani kamshauri?
Kwa tuhuma tu za huyo mtu...inatosha kutompa nafasi kubwa.
Tuhuma zikiwa nyingi ni doa.
 
Nchi nzima? Nchi gani hiyo mkuu. Sema walimwengu mnajua kujimilikisha nchi[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Makonda atakua amejifunza mengi kwa hiyo miaka 3 ya kukaa bench, siku ukipata tatizo la kukosa kazi au kesi mahakani au kuenda jela, au kulazwa kwa mda mrefu ndo mda wakujifunza na kujua binaadamu walivyo.

Utakuja kuona ragi zote za hao viumbe hasa ndugu zako na marafiki zako au unao waita comrades. Nina wakika makonda this time atakua best politician kwasbb amesahisha makosa yake na kujua nyoyo za watu, ule ushamba ubabe ulimbukeni tamaa za mali ameziacha anaanza upya maisha ya kisiasa.
Ushauli mzuri
 
Niliwahi sikia kuwa vyombo vya dola vilimwambia Magufuli amuondoe Makonda ila yeye tu aligomaga kutokana na kumpenda sana.

Kwa nafasi mpya aliyoteuliwa na Chama chake nina uhakika mwenyekiti wake ajipange kuletewa kila siku taarifa zinazotokana na mapungufu yake.

kwa niliyowahi kusikia huko nyuma haya ndo mapungufu ya makonda yaliyofanya vyombo vya dola kupendekeza kwa Magufuli amuondoe

1. Ana tamaa kubwa sana ya pesa na mali kiasi anaweza kumfanya mtu chochote kile ile apate pesa au mali.

2. Ana hulka ya ubabe na kupenda kutumia nguvu kiasi anaweza kumuumiza mtu ili tu afanikishe lengo lake.

3. Hana nidhamu wala adabu. Anaamini katika nguvu za aliye juu yake tu anayemlinda. Mtu kama huyu hafai kufanya kazi katika mifumo thabiti ya uwajibikaji na utendaji.

4. Ni mtu anayeamini kutengeneza mifumo nje ya mifumo halali ya nchi katika kutimiza malengo yake. Amewahi kutengeneza vikundi vilivyokuwa vikifanya kazi chafu hadi kusababisha Rais wa nchi kukosana na vyombo vya dola

Swali langu
Je waliomteua Makonda kuwa Katibu Mwenezi wanajua hizi changamoto zake? Hawakuuliza hata kwenye vyombo vya dola?

Wakati utaongea!

Tupe ushahidi wa haya?
 
Jamaa alikuja na mbinu za kizamani za kina jpm ambazo yeye mwenyewe alifeli nazo
 
Uzi bora zaidi kumuhusu Paol Makonda.

Lord denning hajawahi kukosea kwenye kuchambua siasa za Tanzania

Asanteni UWT kwa tamko
 
Back
Top Bottom