Kwa changamoto hizi naamini Makonda atakuwa liability zaidi kwa Rais Samia kuliko asset

Mkuu Pascal nakuelewa sawa ila waswahili husema tabia ni kama ngozi. Sijui kama huyu mtu amebadilika kama inavyosemwa. Muda utaongea
 
Hajawahi kuwa asset by anyhow
 
Ogopa kitu mapenzi
 
"Uliwahi kusikia vyombo vya dola vilimwambia amtoe Makonda akagoma kwa sababu anampenda "


"Unadhani Makonda kwa atakuwa Liability kwa Rais Samia"

Wewe ni IDIOT,acha majungu watakugomola au kuku sodomize ukiendelea na hii tabia
 
Zinabaki kuwa rumors tu,kati ya waliotendwa wameshindwa kwenda mahakamani ,na makonda akiwa hana nafasi yoyote serikalini,hana Godfather,hebu fikiri mara mbili kabla ya kuleta upuuzi wako hadharani
 
Naona mantiki na ushabihiano mkubwa sana wa hizo sifa na matendo yake ya swali, na namna alivyopokea uteuzi huko Twitter ngoja tusubiri jua likiwaka mwanga utaongea yote
 
Ndege wanao fanana huruka pamoja na hutua kwenye mti mmoja
Hata shetani anajua walio wake hawezi kuwaacha hata siku moja
 
Sijawahi kukuelewa kwenye nyuzi zako lakini uzi huu uneonyesha utu uzima.
Tegemeeni madudu makubwa toka Makonda.
Tabia ni ngozi kamwe haiwezi kumalizwa na shida, akitulia miezi 3 ataanza tena ile tabia yake.

Ninapenda mtu msema kweli bila kujali itamfurahisha nani na kumuumiza nani
 
Hana nidhamu wala adabu. Anaamini katika nguvu za aliye juu yake tu anayemlinda. Mtu kama huyu hafai kufanya kazi katika mifumo thabiti ya uwajibikaji na utendaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andika kiswahili, haipendezi kuchanganya kwenye kichwa cha habari yako! "Liability "
 
Wamemteua Kwa Ajili ya kupata kura za Kanda ya Ziwa sambamba na Biteeko na hizo unazosema mapungufu ndio sifa za watu wa huko Wasukuma Bado wanazihusudu ukitoa Kagera.

Kwa hiyo Kwa muda huu wa kupelekea kwenye uchaguzi hue da zikawapa nafasi but naona is too early yaani angeteuliwa mwakani.

Mwisho Kwa tamaa ya upigaji huyo ni namba Moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…