Kwa changamoto hizi naamini Makonda atakuwa liability zaidi kwa Rais Samia kuliko asset

Kama anakubalika huko kanda ya ziwa kwanini 2020 hakwenda kugombea ubunge huko?

Vijana wa Bashed bhana!
 
Sikubaliani na mtazamo wako ila yakija kutokea kulingana na mtazamo, nitakuwa radhi kutengua kauli yangu hii
 
Hapana kwenye hoja wapo bora zaidi kumzidi.

CCM ina vijana wazuri wamemaliza vyuo na nawajua wapo vizuri sana. Ni wao kupewa nafasi na kuwa groomed vizuri tu.
Shida sio uzuri wa hao vijana wa ccm, bali ukweli ni kuwa ccm kama chama sio chama Cha kizazi hiki, hivyo hakivutii kizazi hiki kwa ushawishi wa hoja za kisiasa. Kwahiyo namna ya kubaki madarakani kwa shuruti ni lazima watumie hao wahalifu kuhakikisha kinabaki madarakani.

Leo hii ccm ikikubali kuwatumia hao vijana wazuri kufanya siasa, ndani ya chaguzi mbili hakuna uwezekano wa ccm kuendelea kuwa madarakani, ama kuwa na uwezo tena wa kufanya maamuzi bungeni watakavyo. Kwahiyo kinachopelekea kutumia hao wahalifu, ni katika kujaribu kupambana kuzui mabadiliko ya nyakati na kizazi. Ifahamike wakati ni ukuta. Hao ccm wamekuwa kama mwanamke mzee asiyekubaliana na umri kumtupa mkono, utakuta anatumia mkorogo, hela kuhonga vijana wadogo, ushirikina na kuvaa nguo zisizo za maadili ili ajifanye Bado wamo.
 
Zinabaki kuwa rumors tu,kati ya waliotendwa wameshindwa kwenda mahakamani ,na makonda akiwa hana nafasi yoyote serikalini,hana Godfather,hebu fikiri mara mbili kabla ya kuleta upuuzi wako hadharani
Watu waende mahakama zipi kwenda kushitaki waliofanya uovu kwa backup ya utawala? Mahakama hizihizi zenye kesi za kina Mdee mwaka wa tatu huu na ushahidi wote upo. Hakuna namna utamshitaki Makonda kisha Magufuli aache kuwa sehemu ya maagizo wa uovu huo. Labda kama ni mahakama ya kimataifa , au za nje ya nchi hii.
 
Unajua huko juu wenyewe udanganyana na kutiana moyo kuwa hayo wanayoyasema usijali wewe piga kazi, akipewa hiyo kauli na Rais tayari ni Rungu kwake.
 

Not that idiot; na wewe pascal you need to stop your hypocrite behavior.
Before you defend his appointment, you need to clear him of the allegations leveled against him by the USA government.
Otherwise we shall continue to believe that the ruling party is there to protect killers and thieves.
 
Semeni nyie wana cccm. Wengine wakisema wanaambiwa ni Nongwa
 
Unajua huko juu wenyewe udanganyana na kutiana moyo kuwa hayo wanayoyasema usijali wewe piga kazi, akipewa hiyo kauli na Rais tayari ni Rungu kwake.
Raisi inamhitaji hasa hiki kipindi cha 2025 OCT baada ya hapo lazima mtu sahihi wa kwao atawekwa tu,
 
Mkuu @Lord denning , you might be right kwenye yote hayo, ila human beings are not static, they are dynamics and hence, they change with time. Kwa mapito aliyoyapitia amejifunza humility, he will be the best of the best
Kwamba tujipe moyo ata change? Kwani i umpe mafasi mtu anayetiliwa mashaka ndio kusema hakuna watu wasafi ktk ccm nzima?
 
Yote hayo si kitu. Dosari kubwa ya Makonda ni kuteka na kuua. Huyu ana mkono wake kwa kupotea kwa Ben Saanane pamoja na kurekwa kwa akina Roma Mkotoliki, MoDewji nk.


Samia ameamua kushiriki meza moja na mtu aliyemwaga damu za watu kwa ajili eti ya kupata uungwaji kutoka kanda ya ziwa ambako ndiko asili ya Makonda. Hizo ni hesabu za kibwege kabisa kutegemea kupata kura za kanda ya ziwa kupitia Makonda.
 
Nitajie kiongozi mmoja tu huko ccm ambae hana tabia hizi ulizosema anazo Makonda!?
 
Kwahiyo mamako huyu hangaya ni katili?
 
Hapana kwenye hoja wapo bora zaidi kumzidi.

CCM ina vijana wazuri wamemaliza vyuo na nawajua wapo vizuri sana. Ni wao kupewa nafasi na kuwa groomed vizuri tu.
Taja wawili tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…