Kwa changamoto hizi naamini Makonda atakuwa liability zaidi kwa Rais Samia kuliko asset

"Uliwahi kusikia vyombo vya dola vilimwambia amtoe Makonda akagoma kwa sababu anampenda "


"Unadhani Makonda kwa atakuwa Liability kwa Rais Samia"

Wewe ni IDIOT,acha majungu watakugomola au kuku sodomize ukiendelea na hii tabia
Wamfanye mara ngapi mkuu?

Huyu kipindi kile cha uchaguzi wa 2020 alikuwa anajitapa kwamba Lisu asipotamgazwa rais atabeba madumu ya petrol kwenda kulipua sehemu mbalimbali hapa nchini.

Ila shangaa leo hii ni shabiki wa Hangaya. Yule aliesema hata mkipiga kura kwingine ccm atatangazwa mshindi.
 
Nani siyo mpigaji huko ccm
 
Mkishindwa kwenye hoja mnakimbilia matusi. Mnasikitisha sana
 
Hizo tabia zote ulizoziorodhesha hapo zinasema huyo Mtu ni Psychopath.
 
Huyu mama anatuonyesha kwamba ni mcha Mungu na muislamu safi sasa kwa nini awaweke watu wenye makandokando kwenye madaraka na wanaokinzana na uchaji wake wa Mungu au tusema ndiyo hivyo tena.
 
Mbona hizo ni sifa za CCM kabisa,na Makonda amelelewa katika misingi hiyohiyo ya dhuruma.
Kwanza CCM aliondoka nayo Nyerere,iyo iliopo ni genge la Wahuni operating under CCM Brand to blackmail Tanzanians!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Nitajie Kiongozi wa ngazi za Juu CCM ya sasa ambaye hana tamaa ya Mali na ni masikini kama akina Mzee Kawawa na Mwalimu Nyerere.
Mwacheni Makonda ale mema ya nchi,kama ni mbaya asingeteuliwa na waliomteua nao ni watu hatari kama yeye.Wanataka kumtumia kwenye mission zao za kihuni;mmesahau Mama Abdul wakati anamwapisha Mkwewe kuwa Waziri wa TAMISEMI,alimsifu kuwa ana kifua kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa.Na baadaye akawaambia Polisi kuwa wajiandae kwa Uchaguzi maana Bajeti Yao tayari ni Bilioni 125.
Sasa mwashangaa nini Bashite kurudishwa kwenye system;hii maaana yake mjiandae kuikubali CCM kwa shuruti!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
..hata mimi nimeshangaa.

..hivi Maza kafukuza kazi watu wote wa kitendo cha vetting?

..anamteuaje Makonda? Nani kamshauri?
Hii ni mikakati ya Uchaguzi wa serikali za mitaa;
1.Mkwe alipokabidhiwa TAMISEMI aliambiwa ana kifua(Maguvu)
2.Polisi waliambiwa Bajeti yao kwa Uchaguzi ni Bilioni 125(tii maelekezo ya CCM bila shuruti)
3.Uteuzi wa Makonda kuwa Mwenezi(Nguli wa mabavu kuendesha mambo)
Sasa kuelewa hayo unataka mpaka utunukiwe shahada kama ya Mama Abdul ndiyo uelewe!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hizo za kuonga Ili umuone Rais, January Makamba pia kala sana kipindi cha JK.
Makonda alikuwa anaendeleza walipoachia wenzake!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kama Kinana alitajwa kuwa ndiye Jangili namba moja wa kuangamiza Tembo wetu lakini sasa ndiyo Makamu Mwenyekiti wa CCM.Sasa shida nini Muhuni Makonda kupewa cheo kizito CCM.
Tuache double standard,hakuna msafi ndani ya CCM!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hayatuhusu,

Kama ni LIABILITY Kwa chama chake, DP World watalipia deni Hilo!!
Yaani watu wanaangaika na CCM kumteua Makonda utadhani wale wote waliomo ndani ya CCM ndiyo wasafi wakati wote Wahuni tu.Sasa mule CCM nani ni asset!,Wabunge wao tu ni kituko cha Karne![emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa si Mpambe wa Mama Abdul,anajiona anaijua CCM kumbe haijui.CCM ni chama Dola na siasa zake haziwezi kuwa soft kwenye Uchaguzi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
sasaivi hana backup ya jiwe, akileta ujinga watamkamua kamasi pusi asiye na adabu huyo. yeye mwenyewe analijua hilo.
 
Wafunde siasa za CCM hao vijana,shida wanamtazama Makonda kwa jicho la chuki lakini yule jamaa ana kipawa cha uongozi,anatakiwa aendelee kufundwa;ana uwezo ata wa kuwa Rais,Makamu au Waziri Mkuu.
Watanzania wengi mitandaoni ni Simple minds wanapenda kujadili watu badala ya masuala.No.body is perfect,kuna watu wanamponda Makonda lakini ukifuatilia Backgrounds zao unaweza ukazimia!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mbona wao USA hawajamsafisha Bush na mauaji ya raia wema wa Irak kwasababu za kubumba kuwa Sadam ana silaha za kemikali kumbe uwongo.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Nitajie kiongozi mmoja tu huko ccm ambae hana tabia hizi ulizosema anazo Makonda!?
Mkuu ni shida,kuna watu wameanza kufuatilia siasa za CCM juzi.
Kama Watanzania tunataka kubadilisha siasa na muelekeo wa nchi yetu,tushirikiane kuiondoa CCM tu.
Makonda ni zao la CCM na anachofanya anatumwa na haohao viongozi wake uko CCM!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…