Kwa changamoto hizi naamini Makonda atakuwa liability zaidi kwa Rais Samia kuliko asset

Halafu akiwa asset, lini upinzani utaitoa CCM madarakani.
 
..hata mimi nimeshangaa.

..hivi Maza kafukuza kazi watu wote wa kitendo cha vetting?

..anamteuaje Makonda? Nani kamshauri?
Kwa tuhuma tu za huyo mtu...inatosha kutompa nafasi kubwa.
Tuhuma zikiwa nyingi ni doa.
 
Nchi nzima? Nchi gani hiyo mkuu. Sema walimwengu mnajua kujimilikisha nchi[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ushauli mzuri
 

Tupe ushahidi wa haya?
 
Jamaa alikuja na mbinu za kizamani za kina jpm ambazo yeye mwenyewe alifeli nazo
 
Uzi bora zaidi kumuhusu Paol Makonda.

Lord denning hajawahi kukosea kwenye kuchambua siasa za Tanzania

Asanteni UWT kwa tamko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…