Kwa damu ya Yesu Roho yangu nimemkabidhi Yesu Pekee

Najikuta kila nikiona post yake naumia sana na feel the way anavyopitia

Mungu amfanyie wepesi sana
 
Pole sana mkuu, kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo uovu unavyozidi kuenea duniani, shetani akaachilia vitu vyake kwa kasi sana. Mimi juzi kuna ndoto niliota kuhusu ulimwengu wa roho unavyoenda, hakika unabii uloandikwa na Yohana kuhusu Chapa ya Mnyama 666, Nabii wa Uongo, Sanamu ni vya kweli kabisa.

NB: Sio vibaya ukasimulia kila kitu mkuu ili kufungua wengi macho wapate kufahamu tupate kuelewa zaidi.
 
Dini, hasa makanisa yanayojiita ya kilokole, yanaharibu mno maish ya watu, japo mimi naamini mno ktk wokovu, yaani mtu kuokoka.

Haya makanisa sehemu kubwa imani yako haiwezi kujijenga juu ya Kristo Yesu, ila kwa sehemu kubwa sana imani utaiweka kwa hao watumishi, hasa waasisi wa makanisa hayo, wachungaji, manabii n.k
 
Juzikati hapa si ulitaka muongozo wa kuslim sasa mbona Bado unaamini katika damu ya yesu?
 
Shetani trokaaaaaa, pepo trookaaaaaa, shindwaaaaa, ondoka kwa jina la Yesu.


Kuanzia sasa hawatakuweza mamy wangu😘😘😘😘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…