The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Ila Ni watulivuAchana na mama zetu wale wa miaka ile ya zamani ambao wengine hawakusoma kabisa ila maisha yalikua poa tu kwa upande wao.
Nazungumzia hawa wanawake wa kizazi hiki wasiokua na elimu ya walau Diploma, yani wana reasoning capacity ndogo sana kiasi kwamba huwezi kukaa nao ukajadili core issues za maendeleo.
Nimejaribu kudate nao kama watatu hivi ila nilichoambulia ni kero tu, uelewa wao wa Mambo uko chini kiasi kwamba unajiuliza huyu ukimuoa ukaishi nae ndani atakua na mchango gani katika maisha yako ya kila siku zaid ya kuwa mzigo tu?
Wanaume wenzangu siwashauri muoe mtu ambae hana shule kichwani aisee.
Kuna watu wameoa wenye masters na sasa wanalaani Ile siku wamekutana na huyo kiumbe.
Kuna waliooa la 3b na wanakula mema ya nchi no stress.
Omba Mungu upate mke mwema, mtakayependana na kuchukuliana madhaifu hayo mengine ni mapambo tu ya dunia.
chukua soda kwa mangi mwambie nitalipa mwaka kesho.Mtu mwenyewe kumbe ata kuoa hajaoa alaf anatoa ushauri wa mambo ya kuoa ,oa kwanza huyo aliesoma alaf uje utuelezee vizuri faida zake unazopata ni zipi.
We kama huna akili ya kuset mipango yako ya maendeleo unasubiri upate mwanamke wa kukusaidia bas umepotea
JIFUNZE KUSIMAMIA MAISHA YAKO MWENYEWE.
Bikra mkuuAnapikwa kweli kweli, huku kwetu Tanga lazima mwali apikwe na vijana siyo chini ya watano kila mmoja na mtindo wake. Wa kwako akirudi atakuwa kawiva kweli kweli.
Watu wanawaza pesa nadhani na maisha wanasahaau amani na upendo na kusikilizana na heshima Ni zaidi ya diploma na hata vidigrii vinne kwa pamoja na hivyo vitu havipatikani kwenye makatarasi.ni inborn , it's in dna. Oa msomi uwe unaagwa kuwa anasafiri kikazi kila mwezi ama wiki ndio utalijua jiji,akitoka job huwezi kukuhudumia atakuambia Nina stress za jobu,Mara amefokewa. Ukipiga simu Kama nipo juu ya kifua chako ana uwezo wa kutopokea simu akaniambia nipo na bosi kwenye kikao Cha ofisi.kulea tu watoto wako ni mchango tosha sana na kukufanya wewe kuishi kwa amani ni mchango mkubwa sana kwenye maisha yako mana ili uweze kufanikiwa unahitaji nyumba yenye amani tu inatosha.
Mkuu umenichekesha Naona unaye msomi mfamasia.Wa kwangu alikuwa analea mtoto na Google walioambiwa huko chuo Cha pharmacy sijui humwambii kitu , mtoto analia usiku kucha Yani hashibi anaambiwa apewe maziwa mtoto au uji mwepes hataki anasema atanyonya ziwa lake bila kitu chchte miezi Tisa sijui
Ujuaji mwngi Yani , Kuna siku kakosa blueband kelele Nyingi Mara blueband Ina umuhimu chakula Cha mzazi ..nikamuuliza mama yako uji wake aliekewa blueband ukiwa mdogo? Acha kujidai mjuaji sikununua siku kadhaa
Kwamba weww sirori Simba kiabakari kyagata makutano ya juu wewe na mwalimu wako mwenye certificate inatosha hutaki stress. Sasa mfungulie naseri ya na pre naseri awe anacheza na watt na kuwasukuma kwenye bembeaMe na mwalimu wangu ana certificate tu inamtosha.
Namie namuongezea juisi ya maziwa+tende,garlic+ginger+honey,potatoes, lemonade, sugarcane,oranges achague yeye mwenyewe.popote ulipo angiza juice ya tikitimaji bili kwangu
Hapa tupo wote mkuu,..mwenye AKILI, japo njia rahisi ya kumpata mwenye akili ndio hiyo shule.Zaidi sana omba Mungu akupe mwenye AKILI, elimu haitoshi hata kidogo aloo!
Jando na unyago virudi...Wizara husika isimamieHizi elimu na dini tulizo zishika zimetufanya tudharau mila na desturi zetu nzuri za Kiafrika. Ila nina uhakika Jando na Unyago ilikuwa nguzo muhimu kuwandaa wazee wetu na kuja wazazi bora sana.
Uko sahihi kabisa kwamba mwenza angalau awe na uelewa wa kuchakata na kusaidia akili ya mwanaume kukabiliana na changamoto za maisha .Achana na mama zetu wale wa miaka ile ya zamani ambao wengine hawakusoma kabisa ila maisha yalikua poa tu kwa upande wao.
Nazungumzia hawa wanawake wa kizazi hiki wasiokua na elimu ya walau Diploma, yani wana reasoning capacity ndogo sana kiasi kwamba huwezi kukaa nao ukajadili core issues za maendeleo.
Nimejaribu kudate nao kama watatu hivi ila nilichoambulia ni kero tu, uelewa wao wa Mambo uko chini kiasi kwamba unajiuliza huyu ukimuoa ukaishi nae ndani atakua na mchango gani katika maisha yako ya kila siku zaid ya kuwa mzigo tu?
Wanaume wenzangu siwashauri muoe mtu ambae hana shule kichwani aisee.
Hakuna mwanaume anaweza sema hvyo alafu yy hajasoma, hakuna!Hapo unakuta mtu anasema usioe mwanamke ambae hana hata diploma halaf unakuta ye mwenyewe ni form 4 na alifeli..dah[emoji28]
sasa apo wenda mzazi mmoja as vyeti feki au mtoto si wakeMimi siwezi oa mwanamke aliyesoma, alafu maisha ya ndoa na elimu mbona sioni uhusiano hapo?...tumezaliwa na wazazi wasiokua na elimu but watoto wao ni maprofessa.....kuna jirani yangu ni dakatari mke wake ni Mwalimu but watoto wake ni wazinguaji hawataki shule
Afadhali To yeye wangu anayoAchana na mama zetu wale wa miaka ile ya zamani ambao wengine hawakusoma kabisa ila maisha yalikua poa tu kwa upande wao.