Kwa dunia ya leo, sishauri mwanaume aoe mwanamke asiyekua na elimu ya walau diploma

Kwa dunia ya leo, sishauri mwanaume aoe mwanamke asiyekua na elimu ya walau diploma

Achana na mama zetu wale wa miaka ile ya zamani ambao wengine hawakusoma kabisa ila maisha yalikua poa tu kwa upande wao.

Nazungumzia hawa wanawake wa kizazi hiki wasiokua na elimu ya walau Diploma, yani wana reasoning capacity ndogo sana kiasi kwamba huwezi kukaa nao ukajadili core issues za maendeleo.

Nimejaribu kudate nao kama watatu hivi ila nilichoambulia ni kero tu, uelewa wao wa Mambo uko chini kiasi kwamba unajiuliza huyu ukimuoa ukaishi nae ndani atakua na mchango gani katika maisha yako ya kila siku zaid ya kuwa mzigo tu?

Wanaume wenzangu siwashauri muoe mtu ambae hana shule kichwani aisee.
Ila Ni watulivu
 
Kuna watu wameoa wenye masters na sasa wanalaani Ile siku wamekutana na huyo kiumbe.

Kuna waliooa la 3b na wanakula mema ya nchi no stress.

Omba Mungu upate mke mwema, mtakayependana na kuchukuliana madhaifu hayo mengine ni mapambo tu ya dunia.

popote ulipo angiza juice ya tikitimaji bili kwangu
 
Mtu mwenyewe kumbe ata kuoa hajaoa alaf anatoa ushauri wa mambo ya kuoa ,oa kwanza huyo aliesoma alaf uje utuelezee vizuri faida zake unazopata ni zipi.

We kama huna akili ya kuset mipango yako ya maendeleo unasubiri upate mwanamke wa kukusaidia bas umepotea

JIFUNZE KUSIMAMIA MAISHA YAKO MWENYEWE.
 
ninaona wanaume wanahitaji mwanamke anayejitambua na anataka mwanaume wa aina gani kwenye ndoa.
ndoa haihitaji elimu kubwa maana unaweza oa mwanamke anaelimu ila elimu ya maisha ya kawaida hana au social skills hana au hata hajui namna ya kutumza watoto wake.

kikubwa wanaume tafuteni wanawake wanaojitambua na wanaoweza kujisimamia mengine hayo jamani mutapeana semina kwenye ndoa kuhusu elimu ya darasani
 
Mtu mwenyewe kumbe ata kuoa hajaoa alaf anatoa ushauri wa mambo ya kuoa ,oa kwanza huyo aliesoma alaf uje utuelezee vizuri faida zake unazopata ni zipi.

We kama huna akili ya kuset mipango yako ya maendeleo unasubiri upate mwanamke wa kukusaidia bas umepotea

JIFUNZE KUSIMAMIA MAISHA YAKO MWENYEWE.
chukua soda kwa mangi mwambie nitalipa mwaka kesho.
 
Mwanamke ambaye hana hata kadiploma Kwa kweli ni changamoto. Wengi wanashindwa vitu vidogo vidogo tu.
Mfano, wanashindwa hata kusupervise watoto kukamilisha homework, mpaka baba urudi.

Mara kabonyeza remote sehemu asiyoijua, haelewi lugha anapoteza hela kumuita fundi, maelekezo madogo madogo tu ya bidhaa (mfano dawa) hawezi kusoma na kuelewa mpaka upigiwe simu.

Hata ukitaka kutoka naye kumeet na rafiki zako ambao si wazungumza Kiswahili anaogopa kwenda, anazugazuga tu kumbe confidence sifuri.
Changamoto zao ni nyingi.

Na Kwa Tanzania ya leo kama mtu hana hata kadiploma basi amekulia mazingira hatarishi (most likely ana fixations kibao au traumas za utotoni) au ni juha. Haelewi a wala be na utalipa sana walimu wa tuition za nyumbani.
 
Kazi Bado kubwa Sana yaani Elimu iwe kigezo Cha mtu kuwa na Akili iliyotimia 🤔.
Hata wapumbavu wanahold CPA na Bado wanabaki kuwa wapumbavu.
Intelijensia sidhan Kama inahusiana na elimu ya darasani au Cheti
 
kulea tu watoto wako ni mchango tosha sana na kukufanya wewe kuishi kwa amani ni mchango mkubwa sana kwenye maisha yako mana ili uweze kufanikiwa unahitaji nyumba yenye amani tu inatosha.
Watu wanawaza pesa nadhani na maisha wanasahaau amani na upendo na kusikilizana na heshima Ni zaidi ya diploma na hata vidigrii vinne kwa pamoja na hivyo vitu havipatikani kwenye makatarasi.ni inborn , it's in dna. Oa msomi uwe unaagwa kuwa anasafiri kikazi kila mwezi ama wiki ndio utalijua jiji,akitoka job huwezi kukuhudumia atakuambia Nina stress za jobu,Mara amefokewa. Ukipiga simu Kama nipo juu ya kifua chako ana uwezo wa kutopokea simu akaniambia nipo na bosi kwenye kikao Cha ofisi.

Yaani omba upate mke mwema anayekusikiliza. Bado Naona u mtto oa tuombe uzima muda Ni muamuzi mzuri utatuletea mrejesho nadhani baada 10yrs
 
Wa kwangu alikuwa analea mtoto na Google walioambiwa huko chuo Cha pharmacy sijui humwambii kitu , mtoto analia usiku kucha Yani hashibi anaambiwa apewe maziwa mtoto au uji mwepes hataki anasema atanyonya ziwa lake bila kitu chchte miezi Tisa sijui

Ujuaji mwngi Yani , Kuna siku kakosa blueband kelele Nyingi Mara blueband Ina umuhimu chakula Cha mzazi ..nikamuuliza mama yako uji wake aliekewa blueband ukiwa mdogo? Acha kujidai mjuaji sikununua siku kadhaa
Mkuu umenichekesha Naona unaye msomi mfamasia.
Mie ndiye nayetoa maelekezo namna ya kumlea mtt. Yaani anayonya miezi sita bila ya kuingiza any foreign thing to mwili wa mtt Mana bado Kinga iko down. Baada ya hapo ndipo anapoanzishiwa vyakula. Wakianza kula Ni mwendo usio na sukari,viazi,supu ya mboga za majani chukuchuku,samaki supu ama dagaa wabichi supu, yaani vyakula natural na sio kitu Cha kiwandani. Mchaichai napanda home mwenyewe na mboga za majani.
 
Me na mwalimu wangu ana certificate tu inamtosha.
Kwamba weww sirori Simba kiabakari kyagata makutano ya juu wewe na mwalimu wako mwenye certificate inatosha hutaki stress. Sasa mfungulie naseri ya na pre naseri awe anacheza na watt na kuwasukuma kwenye bembea
 
Achana na mama zetu wale wa miaka ile ya zamani ambao wengine hawakusoma kabisa ila maisha yalikua poa tu kwa upande wao.

Nazungumzia hawa wanawake wa kizazi hiki wasiokua na elimu ya walau Diploma, yani wana reasoning capacity ndogo sana kiasi kwamba huwezi kukaa nao ukajadili core issues za maendeleo.

Nimejaribu kudate nao kama watatu hivi ila nilichoambulia ni kero tu, uelewa wao wa Mambo uko chini kiasi kwamba unajiuliza huyu ukimuoa ukaishi nae ndani atakua na mchango gani katika maisha yako ya kila siku zaid ya kuwa mzigo tu?

Wanaume wenzangu siwashauri muoe mtu ambae hana shule kichwani aisee.
Uko sahihi kabisa kwamba mwenza angalau awe na uelewa wa kuchakata na kusaidia akili ya mwanaume kukabiliana na changamoto za maisha .
Lakini naweza sema haupo sahihi unaposema angalau awe na diploma na kuendelea.

Hoja yangu ya msingi imelala hapo kwanza unatakiwa ujue kuna tofauti ya kati ya kuwa na elimu na kuwa na akili (uelewa wa kuchanganua mambo).
 
Utamtania kidogo, "nitakupiga" anajibu " niguse uone" ila aliyesoma atajibu tena kwa kujiamini, "sababu za kunigiga ni nini bwana wangu?" Mnajibizana kwa hoja na maisha yanaenda.
 
Mimi siwezi oa mwanamke aliyesoma, alafu maisha ya ndoa na elimu mbona sioni uhusiano hapo?...tumezaliwa na wazazi wasiokua na elimu but watoto wao ni maprofessa.....kuna jirani yangu ni dakatari mke wake ni Mwalimu but watoto wake ni wazinguaji hawataki shule
sasa apo wenda mzazi mmoja as vyeti feki au mtoto si wake
 
Achana na mama zetu wale wa miaka ile ya zamani ambao wengine hawakusoma kabisa ila maisha yalikua poa tu kwa upande wao.

Nazungumzia hawa wanawake wa kizazi hiki wasiokua na elimu ya walau Diploma, yani wana reasoning capacity ndogo sana kiasi kwamba huwezi kukaa nao ukajadili core issues za maendeleo.

Nimejaribu kudate nao kama watatu hivi ila nilichoambulia ni kero tu, uelewa wao wa Mambo uko chini kiasi kwamba unajiuliza huyu ukimuoa ukaishi nae ndani atakua na mchango gani katika maisha yako ya kila siku zaid ya kuwa mzigo tu?

Wanaume wenzangu siwashauri muoe mtu ambae hana shule kichwani aisee.
Afadhali To yeye wangu anayo
 
Back
Top Bottom