Na hapo ni nyumbani kwake lindi, je akienda ugenini itakuwajeSijaelewa ni kuwa ACT Wazalendo hawampi support ya kutosha?
Yaani hili ndio liwe jukwaa la mgombea Urais kweli? Tena aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nje?
Haya maisha yanaweza kumshinda kabla hata kampeni hazijaisha.
View attachment 1559836View attachment 1559837
Lissu angekua ni mwepesi msingeenda kumkokota Mama Maria Nyerere hadi akaja kuwavua nguo jukwaani 🤣🤣🤣Wafuasi wa Chadema ndani ya JF wanachuza sana. Kwenye harakati zao za kutafuta hero wanaweza kumuaminisha mtu anauwezo wa kupaa, usipokuwa makini unaweza kujikuta unapanda juu ya ghorofa za PSPF uruke; mwisho wake sio mzuri...
Wafuasi wa CDM ndani ya JF wanachuza sana. Kwenye harakati zao za kutafuta hero wanaweza kumuaminisha mtu anauwezo wa kupaa, usipokuwa makini unaweza kujikuta unapanda juu ya ghorofa za PSPF uruke; mwisho wake sio mzuri.
Ndio kilichomkuta Membe, baada ya CDM kupata hero mpya kutoka ubelgiji hawana habari nae. Membe mwenyewe ata kuongea majukwaani kushawishi hawezi.
Sasa hivi Lissu yeye anaaminishwa na wafuasi wa CDM ni malaika fulani hakuna anaemuweza Tanzania kila mtu anamuhofia sijui anaweza amrisha jeshi la raia wanaomuunga mkono wakinukishe anytime.
Membe kaenda ACT wazalendo kwenda kushusha CV yakeKweli kabisa. Rungwe jukwaa lake ni bora kuliko la Membe! Akina Zitto ni wajanja wa mjini, wanamumalizia hela yake ya uzeeni kugharimia kampeni zao. Uchaguzi utakapoisha atarudi kwake Mtama akiwa fukara wa kutupwa!
Mkuu tufafanulie plsUnadhani Membe angetaka kuwaweka kina diamond kwenye mikutano yake kama wafanyavyo CCM angeshindwa kujaza watu?! hata mikutano yake tu sisikii ikitangazwa wakati uwezo wa kufanya hivyo anao.
ACT na Chadema wangeungana tatizo ni zile sheria za mtego alizosema Lissu ITV, but viongozi wa hivyo vyama viwili bado wana nia njema kati yao.
Yaani hawana tofauti na Hashimu Rungwe. Zito aliahidi mara nyingi wataungana na Chadema kuwa na Mgombea mmoja, sijui kwa nn wanalazimisha wakati jamaa kapoteza mvuto wote. Wabadiri gia, waongee na Chadema fasta waongeze nguvu na membe ajitoe ili aje apewe uwaziri mambo ya nje huko mbele wakifanikiwa kushinda. Ila kwa mwendo huo, hamna kitu hapo.Sijaelewa ni kuwa ACT Wazalendo hawampi support ya kutosha?
Yaani hili ndio liwe jukwaa la mgombea Urais kweli? Tena aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nje?
Haya maisha yanaweza kumshinda kabla hata kampeni hazijaisha.
View attachment 1559836View attachment 1559837
Si nyie kila siku mlikuwa mnatuimbia kuwa ACT kinaenda kuwa chama kikuu cha upinzani?Sijaelewa ni kuwa ACT Wazalendo hawampi support ya kutosha?
Yaani hili ndio liwe jukwaa la mgombea Urais kweli? Tena aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nje?
Haya maisha yanaweza kumshinda kabla hata kampeni hazijaisha.
View attachment 1559836View attachment 1559837
Si nyie kila siku mlikuwa mnatuimbia kuwa ACT kinaenda kuwa chama kikuu cha upinzani?
miss you mtoto mzuriHayupo siriaz jamani[emoji1438]♂[emoji1438]♂
Ndio Shida ya upinzani wa Nchi hiiSiasa za mitandaoni zilimvimbisha kichwa akajiona anapendwa kuliko mwenyekiti!
Asipokuwa makini hatamfikia hata RUNGWE kwa kura!
Atapata aibu sana huyu mzee!.
Majimbo 18 yatoke wapi wakati mmkatawagombea waoNdio, ACT wanaenda kuwa chama kikuu cha upinzani kwa kutumia ticket ya Zanzibar, wana uhakika wa majimbo 18 Pemba, sasa wewe unaona CDM wana uwezo wa kupata hata majimbo 10 bara?
miss you mtoto mzuri
Nyie akina Nani? Mi sio mmoja wao.Si nyie kila siku mlikuwa mnatuimbia kuwa ACT kinaenda kuwa chama kikuu cha upinzani?
Too late kwa Sasa maana wote wamesharudisha fomuYaani hawana tofauti na Hashimu Rungwe. Zito aliahidi mara nyingi wataungana na Chadema kuwa na Mgombea mmoja, sijui kwa nn wanalazimisha wakati jamaa kapoteza mvuto wote. Wabadiri gia, waongee na Chadema fasta waongeze nguvu na membe ajitoe ili aje apewe uwaziri mambo ya nje huko mbele wakifanikiwa kushinda. Ila kwa mwendo huo, hamna kitu hapo.
Licha ya kukosa fedha, Membe Hana hoja kabisaukigombea urais yakupasa uwe na fweza lasivyo inakula Hakuna atayekuamini. Alipaswa Kuwadai ACT program na bajeti ya kampeni Kabla hajajitokeza kugombea.