Kwa haya tunayofanyiana Waafrika nakuja kuona hotuba ya P.W. Botha ilikuwa ina mashiko kwa kiasi fulani

Although Botha alikuwa ni mbaguzi juu ya watu weusi South Africa lakini zaidi ya miaka 30 baadae unakuja kuona alikuwa sahihi katika baadhi ya vipengele katika hotuba yake.

Baadhi ya vipengele vya hotuba yake:

"Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa kutawala jamii ... Wape bunduki watauana; Wapeni madaraka wataiba pesa zote za serikali; Wape uhuru na demokrasia wataitumia kuendeleza ukabila, ubaguzi, chuki, mauaji na vita!”

"Kwa sasa kila mmoja wetu ameona kwa vitendo kwamba Weusi hawawezi kujitawala wenyewe. Wape bunduki na watauana. Hawafai kitu kingine isipokuwa kufanya kelele, kucheza, kuoa wake wengi na kujiingiza katika ngono. Sote tukubali kwamba Mtu Mweusi ni ishara ya umaskini, unyonge wa kiakili, uvivu na uzembe wa kihisia"

My take: Nadhani hakuna mtu anaehitaji more explanation, yamejitosheleza kabisa. Kwa asilimia kubwa sisi ni mizigo.
Wewe ni mweusi au mweupe?
 
hayo yakwetu vipi WW1 na WW2 alileta muafrika..?
utumwa nakuligawa bara letu ktk nchi navyo alifanya muafrika..?
vita vinavyolindima huko mashariki yakati,ugaidi na utengenezaji wa siraha za nyuklia navyo ni vya muafrika!.
nafikiri kila mmoja anatakiwa ajikomboe pale alipo,wakoloni waliacha athari kadha wa kadha hapa africa ni mambo ambayo bado yanatutafuna pia!.
wao walileta shule lkn hizo shule zilikuwa na ubaguzi pia hawakusoma watu wote walisoma watoto wao!.

sidhani kama kuna msafi hapa sote madunduka tu..🤣
Germany amefight WW1na WW2 na bado ana maendeleo kuliko sisi we've never even experienced an economic crisis ila bado hatujiwezi
 
Although Botha alikuwa ni mbaguzi juu ya watu weusi South Africa lakini zaidi ya miaka 30 baadae unakuja kuona alikuwa sahihi katika baadhi ya vipengele katika hotuba yake.

Baadhi ya vipengele vya hotuba yake:

"Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa kutawala jamii ... Wape bunduki watauana; Wapeni madaraka wataiba pesa zote za serikali; Wape uhuru na demokrasia wataitumia kuendeleza ukabila, ubaguzi, chuki, mauaji na vita!”

"Kwa sasa kila mmoja wetu ameona kwa vitendo kwamba Weusi hawawezi kujitawala wenyewe. Wape bunduki na watauana. Hawafai kitu kingine isipokuwa kufanya kelele, kucheza, kuoa wake wengi na kujiingiza katika ngono. Sote tukubali kwamba Mtu Mweusi ni ishara ya umaskini, unyonge wa kiakili, uvivu na uzembe wa kihisia"

My take: Nadhani hakuna mtu anaehitaji more explanation, yamejitosheleza kabisa. Kwa asilimia kubwa sisi ni mizigo.
Hakuna sentesi hata moja aliyoitoa Botha ambayo ni ya Uongo

NDIVYO WALIVYO WABANTU
 
Huo ni mtazamo wako mkuu Nikupe mfano Kongo vita vinaendelea kila kukicha Kuna watu wa UN ambao wao kazi yao ni kulinda usalama sasa badala ya kulinda wanaiba rasilimali kama madini na vitu vya thamani vingi kwakuwa tu hawakaguliwi..Kwahio kwa picha nyepesi ni kuwa shida haipo Kongo TU ,hata wazungu wanachangia .

Nakukosoa mtizamo wako kwasababu haya matatizo yapo Kila mahali tunapotufautiana na wenzetu ni ule uwezo(uharaka) wa kutatua matatizo yanayojitokeza
Mpanga Mchonganishwe, mpigane kisha Muibiwe Resources maana yake ninyi ni WAJINGA na DHAIFU

Ardhi ya Kongo ina Chuma nyingi sana tangu enzi na enzi...kwanini hawakuweza kutengeneza Silaha kama Bunduki za kulinda Mali zao na Uhai wao?

Ni Wajinga na hawakutumia Akili

Wazungu wameanza kuingia pale karne ya 19, yaani karne ya pili nyuma tu...wakati Congo ilishakuwa na Wabantu kwa karne zaidi ya kumi nyuma
 
Wajinga eh...Kwa hio Mali zilizoachwa na wajerumani Bongo na hatuwezi zitumia sisi pia ni wajinga?
 
Ni Wajinga ndio, na sijui kama umepata point yangu vizuri

Hoja ni kuwa, kwanini tutumie vya kwao vyenye miaka ya kutosha ambavyo obviously vina Ubora kuliko vya kwetu...na mpaka sasa hatujaweza kutengeneza vyetu nyenye ubora kama huo au kuzidi huo

Kwenye suala la Ujinga, Uvivu wa kutumia Akili, Uzembe, kutokuwa na Ubunifu na Ugunduzi Watu weusi ni WAJINGA NAMBA MOJA DUNIANI
 
Wakati akina PW Botha wakiwa madarakani Afrika Kusini ilizidi nchi nyingi za Ulaya kwa ubora wa maisha kwani wafanyakazi waliishi vizuri sana kwa mishahara kwa mwezi mzima.

Lakini baada tu ya nywele ngumu kuichukua nchi leo hii siku 12 tu mshahara umeisha na maskini wameongezeka nchini Afrika Kusini kwa kasi ya kutisha huku wakuu serikalini wakishindana kuipora nchi.

Leo hii hata Tanzania hii wapewe wazungu ndani ya miaka miwili tu hautaweza kuona vumbi mjini labda uende huko vijijini. Waafrika hatuna karama ya uongozi ila inapaswa sisi tuwe ni watu wa kutawaliwa tu na wazungu ndipo tutaona uzuri wa kuwepo hapa duniani.
 
Mtazamo wa Hilo ni sahihi lakini kiini Cha hayo yote ni mtu weupe , mara nyingi anayejipambanua katika usafi ndio kiini Cha kuleta na kusababisha uchafu zaidi .
Tazama wanavyohubili demokrasia na kueshimu utu ila wanachofanya ni kuonyesha demokrasia inavyofanana na sio kuiishi demokrasia tayari wameweka mifumo kadamizi ambayo inafanya kazi kimabavu chini Kwa chini uku juu wanaendelea kupaka rangi ya uzuri
 
"Kwa sasa kila mmoja wetu ameona kwa vitendo kwamba Weusi hawawezi kujitawala wenyewe. Wape bunduki na watauana.

Huko Russia/Ukraine, Israel/Palestine/Lebanon wanaouana ni watu weusi?

Huyo bwana alitumia udhaifu wa watu weusi kutaka kupenyeza sera zake za ubaguzi wa rangi...
 
"Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa kutawala jamii ... Wape bunduki watauana; Wapeni madaraka wataiba pesa zote za serikali; Wape uhuru na demokrasia wataitumia kuendeleza ukabila, ubaguzi, chuki, mauaji na vita!”
Before colonialism unadhani Africa kulikuwa kuna nini ? Unadhani kabla ya hao Boers ya kuingia Africa Kusini watu walikuwa wanaishi vipi ? Kwa kutawaliwa na Simba ? Au kulikuwa na Utawala wao ?

Kabla ya Waharifu kutokea England na Europe hawajapelekwa Australia kama jela unadhani aboriginals walikuwa wanafanya nini kama sio kujitawala unaongelea Demokrasia unadhani before colonialism dunia nzima kulikuwa kuna nini kama sio monarchies ?
"Kwa sasa kila mmoja wetu ameona kwa vitendo kwamba Weusi hawawezi kujitawala wenyewe. Wape bunduki na watauana.
Sasa hivi tunavyoongea vita vipo wapi na wapi vikubwa na hao wanaopigana na weusi ? Vita vya kwanza na vya pili vya dunia alianzisha mtu mweusi ? One of the wealthiest people to ever lived Mansa Musa alikuwa mzungu wa wapi ?
Hawafai kitu kingine isipokuwa kufanya kelele, kucheza, kuoa wake wengi na kujiingiza katika ngono. Sote tukubali kwamba Mtu Mweusi ni ishara ya umaskini, unyonge wa kiakili, uvivu na uzembe wa kihisia"
My take: Nadhani hakuna mtu anaehitaji more explanation, yamejitosheleza kabisa. Kwa asilimia kubwa sisi ni mizigo.
Sasa kuna shida gani mtu kucheza na kufanya kelele na ku enjoy maisha (au unadhani living in a rat race ndio ujanja) unaongelea uzembe wakati kabla ya industrial revolution nguvu kazi unayodhani ilitumika kujenga dunia ya leo ni watu wapi walikuwa nguvu kazi kama sio weusi

Nadhani what we need is emancipation from mental slavery
 
Mtazamo wa Hilo ni sahihi lakini kiini Cha hayo yote ni mtu weupe , mara nyingi anayejipambanua katika usafi ndio kiini Cha kuleta na kusababisha uchafu zaidi .
Tazama wanavyohubili demokrasia na kueshimu utu ila wanachofanya ni kuonyesha demokrasia inavyofanana na sio kuiishi demokrasia tayari wameweka mifumo kadamizi ambayo inafanya kazi kimabavu chini Kwa chini uku juu wanaendelea kupaka rangi ya uzuri
 
JamiiForums siku hizi limekuwa jukwa la kuwatukana, kuwazodoa na kuwakebehi na kuwakejeli Waafrika tu.

Mimi hata useme nini, I am proud to be an African.

Hakuna kitu chechote kile kinachoendelea Duniani sasa hivi, ambacho hakijakuwa Influenced na Utamaduni wa Mwafrika, hakuna!

I am African and Proud to be Tanzanian.
 
Although Botha alikuwa ni mbaguzi juu ya watu weusi South Africa lakini zaidi ya miaka 30 baadae unakuja kuona alikuwa sahihi katika baadhi ya vipengele katika hotuba yake.

Baadhi ya vipengele vya hotuba yake:

"Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa kutawala jamii ... Wape bunduki watauana; Wapeni madaraka wataiba pesa zote za serikali; Wape uhuru na demokrasia wataitumia kuendeleza ukabila, ubaguzi, chuki, mauaji na vita!”

"Kwa sasa kila mmoja wetu ameona kwa vitendo kwamba Weusi hawawezi kujitawala wenyewe. Wape bunduki na watauana. Hawafai kitu kingine isipokuwa kufanya kelele, kucheza, kuoa wake wengi na kujiingiza katika ngono. Sote tukubali kwamba Mtu Mweusi ni ishara ya umaskini, unyonge wa kiakili, uvivu na uzembe wa kihisia"

My take: Nadhani hakuna mtu anaehitaji more explanation, yamejitosheleza kabisa. Kwa asilimia kubwa sisi ni mizigo.
Sawa
 
Back
Top Bottom