Kwa haya tunayofanyiana Waafrika nakuja kuona hotuba ya P.W. Botha ilikuwa ina mashiko kwa kiasi fulani

Kwa haya tunayofanyiana Waafrika nakuja kuona hotuba ya P.W. Botha ilikuwa ina mashiko kwa kiasi fulani

"Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu
1. hawana akili na uwezo wa kifikra wa kutawala jamii ...
2. Wape bunduki watauana;
3. Wapeni madaraka wataiba pesa zote za serikali;
4. Wape uhuru na demokrasia wataitumia kuendeleza ukabila, ubaguzi, chuki, mauaji na vita!”

haya kwetu hayapo?
halafu hii ndiyo shule ya watotto wetu na kuna mtu nazunguka na ndege za umma dunia nzima na wasanii
1731084096912.jpeg
 
Back
Top Bottom