Kwa haya tunayofanyiana Waafrika nakuja kuona hotuba ya P.W. Botha ilikuwa ina mashiko kwa kiasi fulani

Wewe ni mweusi au mweupe?
 
Germany amefight WW1na WW2 na bado ana maendeleo kuliko sisi we've never even experienced an economic crisis ila bado hatujiwezi
 
Hakuna sentesi hata moja aliyoitoa Botha ambayo ni ya Uongo

NDIVYO WALIVYO WABANTU
 
Mpanga Mchonganishwe, mpigane kisha Muibiwe Resources maana yake ninyi ni WAJINGA na DHAIFU

Ardhi ya Kongo ina Chuma nyingi sana tangu enzi na enzi...kwanini hawakuweza kutengeneza Silaha kama Bunduki za kulinda Mali zao na Uhai wao?

Ni Wajinga na hawakutumia Akili

Wazungu wameanza kuingia pale karne ya 19, yaani karne ya pili nyuma tu...wakati Congo ilishakuwa na Wabantu kwa karne zaidi ya kumi nyuma
 
Wajinga eh...Kwa hio Mali zilizoachwa na wajerumani Bongo na hatuwezi zitumia sisi pia ni wajinga?
 
Wajinga eh...Kwa hio Mali zilizoachwa na wajerumani Bongo na hatuwezi zitumia sisi pia ni wajinga?
Ni Wajinga ndio, na sijui kama umepata point yangu vizuri

Hoja ni kuwa, kwanini tutumie vya kwao vyenye miaka ya kutosha ambavyo obviously vina Ubora kuliko vya kwetu...na mpaka sasa hatujaweza kutengeneza vyetu nyenye ubora kama huo au kuzidi huo

Kwenye suala la Ujinga, Uvivu wa kutumia Akili, Uzembe, kutokuwa na Ubunifu na Ugunduzi Watu weusi ni WAJINGA NAMBA MOJA DUNIANI
 
Wakati akina PW Botha wakiwa madarakani Afrika Kusini ilizidi nchi nyingi za Ulaya kwa ubora wa maisha kwani wafanyakazi waliishi vizuri sana kwa mishahara kwa mwezi mzima.

Lakini baada tu ya nywele ngumu kuichukua nchi leo hii siku 12 tu mshahara umeisha na maskini wameongezeka nchini Afrika Kusini kwa kasi ya kutisha huku wakuu serikalini wakishindana kuipora nchi.

Leo hii hata Tanzania hii wapewe wazungu ndani ya miaka miwili tu hautaweza kuona vumbi mjini labda uende huko vijijini. Waafrika hatuna karama ya uongozi ila inapaswa sisi tuwe ni watu wa kutawaliwa tu na wazungu ndipo tutaona uzuri wa kuwepo hapa duniani.
 
Mtazamo wa Hilo ni sahihi lakini kiini Cha hayo yote ni mtu weupe , mara nyingi anayejipambanua katika usafi ndio kiini Cha kuleta na kusababisha uchafu zaidi .
Tazama wanavyohubili demokrasia na kueshimu utu ila wanachofanya ni kuonyesha demokrasia inavyofanana na sio kuiishi demokrasia tayari wameweka mifumo kadamizi ambayo inafanya kazi kimabavu chini Kwa chini uku juu wanaendelea kupaka rangi ya uzuri
 
"Kwa sasa kila mmoja wetu ameona kwa vitendo kwamba Weusi hawawezi kujitawala wenyewe. Wape bunduki na watauana.

Huko Russia/Ukraine, Israel/Palestine/Lebanon wanaouana ni watu weusi?

Huyo bwana alitumia udhaifu wa watu weusi kutaka kupenyeza sera zake za ubaguzi wa rangi...
 
Before colonialism unadhani Africa kulikuwa kuna nini ? Unadhani kabla ya hao Boers ya kuingia Africa Kusini watu walikuwa wanaishi vipi ? Kwa kutawaliwa na Simba ? Au kulikuwa na Utawala wao ?

Kabla ya Waharifu kutokea England na Europe hawajapelekwa Australia kama jela unadhani aboriginals walikuwa wanafanya nini kama sio kujitawala unaongelea Demokrasia unadhani before colonialism dunia nzima kulikuwa kuna nini kama sio monarchies ?
"Kwa sasa kila mmoja wetu ameona kwa vitendo kwamba Weusi hawawezi kujitawala wenyewe. Wape bunduki na watauana.
Sasa hivi tunavyoongea vita vipo wapi na wapi vikubwa na hao wanaopigana na weusi ? Vita vya kwanza na vya pili vya dunia alianzisha mtu mweusi ? One of the wealthiest people to ever lived Mansa Musa alikuwa mzungu wa wapi ?
Sasa kuna shida gani mtu kucheza na kufanya kelele na ku enjoy maisha (au unadhani living in a rat race ndio ujanja) unaongelea uzembe wakati kabla ya industrial revolution nguvu kazi unayodhani ilitumika kujenga dunia ya leo ni watu wapi walikuwa nguvu kazi kama sio weusi

Nadhani what we need is emancipation from mental slavery
 
 
JamiiForums siku hizi limekuwa jukwa la kuwatukana, kuwazodoa na kuwakebehi na kuwakejeli Waafrika tu.

Mimi hata useme nini, I am proud to be an African.

Hakuna kitu chechote kile kinachoendelea Duniani sasa hivi, ambacho hakijakuwa Influenced na Utamaduni wa Mwafrika, hakuna!

I am African and Proud to be Tanzanian.
 
Sawa
 
Asante mwafrican, naona unaandika na kuongea kiafrican, ingependeza na lilugha lao ukalitupia kando huko
Enhe...



Kuongea kiafrican ndiyo una ongeaje🤡

Bloadfurken kweli kweli hao.

Nayajua magaidi ya mitandaoni. Na huyu ni mmoja wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…