chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hamna lolote, wanafiki wakubwa nyie, ondokeniTumuachie.chama.chake na machawa wake wamtumikie Mama Abduli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna lolote, wanafiki wakubwa nyie, ondokeniTumuachie.chama.chake na machawa wake wamtumikie Mama Abduli.
Mkuu, yn unataka mbowe aachie madaraka afu unataka mwanaJF mwenzetu Erythrocyte akale wapi 😂View attachment 3182292
Habari zote kuhusu Mbowe kung'ang'ania madaraka zipo humu, kwa hiyo hakuna haja ya kurudia.
Nimekuja hapa kutoa taarifa tu kwamba nimeshtukia hii deal ya Mbowe na CCM. Sisi sio wajinga wa kufanywa kama CUF ya Lipumba. Sisi tuna akili, nenda peke yako bwana Mbowe kulamba viatu vya Samia. Kama ulitegemea tutakuunga mkono, basi ulichanga karata zako vibaya.
Hatutaondoka Jukwaa la Siasa, lakini sio kuunga mkono hotuba zako za kitapeli.
Ishu ni je, yangeanzia huko Tanga ungelishiriki? Na uliwahi kushiriki maandamano gani kabla? Au yote yalikosewa? Ahahahahaha!!!Yale maandano yalikua geresha tu yalitakiwa yafanyike tanga sku tu baada ya kumzika kibao sio wiki tatu toka tukio amka usingizin ndo maana watu hawakwenda
..kama ni hivyo, ipi ni good deal..kucompromise na ccm na kukiacha chama km Mashinji au kucompromise na kubaki kwenye chama..Mlitaka akina nani?
Siko kwenye chama na sifangamani na chama chochote ila reality is, if state wanafaidika zaidi na uwepo wa mbowe, means mbowe ni asset kwa serikal.
No offense kwake amekitoa chama mbali, but ame make deal with the same people anao hubiri kuwapinga
Kwani katiba ya CDM ina ukomo wa kugombea mpaka useme ameamua kuongeza muda?Tumtoe Rais katika hili, tupambane na tuliyemuona kama alama ya upinzani na demokrasia nchini kumbe naye ni mpinzani ndani ya chama na mminya demokrasia.
Heshima yote niliyokuwa nampa Mbowe nimeiondoa jana.
Tutakuwa na hoja gani endapo Rais aliyeko madarakani akiadhimia kuongeza muda?
Ahsantee..💪View attachment 3182292
Habari zote kuhusu Mbowe kung'ang'ania madaraka zipo humu, kwa hiyo hakuna haja ya kurudia.
Nimekuja hapa kutoa taarifa tu kwamba nimeshtukia hii deal ya Mbowe na CCM. Sisi sio wajinga wa kufanywa kama CUF ya Lipumba. Sisi tuna akili, nenda peke yako bwana Mbowe kulamba viatu vya Samia. Kama ulitegemea tutakuunga mkono, basi ulichanga karata zako vibaya.
Hatutaondoka Jukwaa la Siasa, lakini sio kuunga mkono hotuba zako za kitapeli.
Kweli mbowe kibaraka,hadi wewe leo upinzani!!Matapeli wanaondoka chadema mmoja mmoja, katiba yenu inatoa uhuru wa kugombea kwa kila mtu, kwa nini mnashinikiza mtu asitumie haki yake ya kikatiba? Nyie ndio mnasema katiba mpya ni suluhisho wakati hiyo ya kwenu hamuheshimu? Kwa nini mminye haki ya Mbowe kugombea? Kila mtu auze sera, wananchi wataamua
Ndio ukweli, mabadiliko yataletwa na vijana kama wa Sri Lanka.Naunga mkono hoja.
CHADEMA chini ya Mbowe imepoteza mwelekeo imekosa agenda hawajui hta wanapigania kitu gani.
Mabadiriko ya kweli yataletwa na umma wenyewe ukichoka madhila ya kuwa chini ya utawala wa chama kimoja Kwa muda mrefu.
Tusiwategemee hawa wanasiasa wenye ndimi mbili ambao kwao kipaumbele ni MATUMBO YAO na sio kuwa sauti ya wanyonge.
NB:Vijana msikubali kutumika na hawa wahuni wahuni CHADEMA mtakufa na kupata vilema vya kudumu huku wao wakifurahia kunywa mvinyo mwekundu na hawa watesi wetu.
Mabadiliko mema na ya kweli na ya salama yalitakiwa kuletwa na wanasiasa kupitia wananchi..ila mabadiliko machungu na mabaya na magumu ndiyo yanaletwa na wananchi au jeshi pasipo wanasiasa ...hivyo hoja yako ni potovu .. wanasiasa pia ni wananchi pia wanatakiwa kuinua nguvu ya wananchi kupitia siasausimuweke mdhamana mwanasiasa!
na mageuzi/mabadiliko ya kweli hayaletwi na vyama vya siasa ni wananchi tu
ova
Karibu chauma chana cha wazalendo wa kweli , ukishashiba ndio akili itafanya kazi vizuri. #kataa njaa.