Kwa hii kauli ya Wenje, Msajili Ashurutishe Vyama Vya Siasa Kuchapisha Taarifa zao za Kifedha Haraka Sana

CCM wanamiliki zaidi ya Frame za biashara elfu hamsini nchi nzima, majengo ya biashara countless, viwanja vya mpira, biashara ya mavazi ya chama , nk.

Why CHADEMA hawajafikiria kuwa hata na vyanzo mfano wa CCM vya mapato nchini
 
Lakini ukiwachimba sana Chadema, iliwahi kuwa na wabunge karibia 80 bungeni, maana yake hiki chama kina karibu muongo mmoja wa kujichotea pesa nyingi za ruzuku na misaada ya wafadhili nje.
Na wakati huo huo Lisu alisema ""viongozi wanaolipwa mishahara ndani ya chadema hawazidi 7"".
 
Sheria ya vyama vya siasa inataka vyama kupeleka taarifa zao za kifedha kwa msajili kila mwaka; kwakuwa vyama hivi vina maslahi kwa nchi, ningependekeza ofisi ya msajili kuzitoa taarifa hizo kwa umma wa watanzania, kuna viongozi wanastahili kufunguliwa kesi za matumizi mabaya ya fedha za umma.

Nimeshtushwa sana na hoja ya Wenje; kwa Chama cha Chadema kuchangiwa Milioni 250 na Mbowe, ambaye amekuwa mwenyekiti kwa miaka 20; hii ni hoja nzito kabisa ya kumpumzisha siasa huyu baba.

Kwa tafsiri ya kwenye biashara, Chadema haina cash flow za ku run operations zake za kila siku. Hii ni tafsiri ya taasisi iliyofilisika.

Lakini ukiwachimba sana Chadema, iliwahi kuwa na wabunge karibia 80 bungeni, maana yake hiki chama kina karibu muongo mmoja wa kujichotea pesa nyingi za ruzuku na misaada ya wafadhili nje.

Sasa hoja iliyoletwa na Wenje mezani kwamba chama kinakosa hata pesa za vikao kwa sasa, ina tafsiri ya uongozi ulioshindwa, na tukifukunyua zaidi - ikiwa msajili atatupatia taarifa za kifedha za hiki chama, yaani nahisi kabisa kuna viongozi wanatakiwa kwenye hichi chama kujibu kesi za matumizi mabaya ya madaraka.

Kama Lissu hajachanga, namuunga mkono kabisa, hata mimi nisingechangia hata senti tano, kuna haja kwanza ya kujua Chadema imefanyia nini pesa za ruzuku mabilioni ya shilingi..

Unaweza kushangwazwa eti chama kimetumia bilioni 3 kununua kofia, sasa huu si utoto kabisa huu, yaani waliacha kuwekeza hizi bilioni 3 kwenye bonds ambapo wangekuwa wanakula interest ya zaidi ya milioni 400 kila mwaka ambazo wala usingesikia kelele za kuomba michango.

Huyu mtu amechoka, apumzike kabisa.

Husomagi taarifa ya CAG kuhusu mapato na matumizi ya vyama vya siasa???
 
Tatizo kubwa sana tena sana, kama umekuwa kiongozi wa chama kwa miaka 20 halafu bado unatoa pesa zako mfukoni, hiyo maana yake umeshindwa kuifanya taasisi kuwa na sustainability kwenye vyanzo vyake vya mapato.

Hii ni hoja nzito ya Mbowe kupumzishwa siasa na uongozi wa hiki chama
Kwa hiyo msajili afanyeje?
 
hivi hawa chadema pesa za ruzuku,misaada na michango kuwa zinawekwa kwenye akaunti ya CHADEMA au akaunti binafsi ya mwenyekiti.? maana maneno mengi mtaani
1. Misaada ikipitia kwa chairman huwa aningiza chadema kama mkopo.
Ruzuku ikitoka anadai alipwe alizoingiza tena za msaada pamoja na riba.
 
Sheria ya vyama vya siasa inataka vyama kupeleka taarifa zao za kifedha kwa msajili kila mwaka; kwakuwa vyama hivi vina maslahi kwa nchi, ningependekeza ofisi ya msajili kuzitoa taarifa hizo kwa umma wa watanzania, kuna viongozi wanastahili kufunguliwa kesi za matumizi mabaya ya fedha za umma.

Nimeshtushwa sana na hoja ya Wenje; kwa Chama cha Chadema kuchangiwa Milioni 250 na Mbowe, ambaye amekuwa mwenyekiti kwa miaka 20; hii ni hoja nzito kabisa ya kumpumzisha siasa huyu baba.

Kwa tafsiri ya kwenye biashara, Chadema haina cash flow za ku run operations zake za kila siku. Hii ni tafsiri ya taasisi iliyofilisika.

Lakini ukiwachimba sana Chadema, iliwahi kuwa na wabunge karibia 80 bungeni, maana yake hiki chama kina karibu muongo mmoja wa kujichotea pesa nyingi za ruzuku na misaada ya wafadhili nje.

Sasa hoja iliyoletwa na Wenje mezani kwamba chama kinakosa hata pesa za vikao kwa sasa, ina tafsiri ya uongozi ulioshindwa, na tukifukunyua zaidi - ikiwa msajili atatupatia taarifa za kifedha za hiki chama, yaani nahisi kabisa kuna viongozi wanatakiwa kwenye hichi chama kujibu kesi za matumizi mabaya ya madaraka.

Kama Lissu hajachanga, namuunga mkono kabisa, hata mimi nisingechangia hata senti tano, kuna haja kwanza ya kujua Chadema imefanyia nini pesa za ruzuku mabilioni ya shilingi..

Unaweza kushangwazwa eti chama kimetumia bilioni 3 kununua kofia, sasa huu si utoto kabisa huu, yaani waliacha kuwekeza hizi bilioni 3 kwenye bonds ambapo wangekuwa wanakula interest ya zaidi ya milioni 400 kila mwaka ambazo wala usingesikia kelele za kuomba michango.

Huyu mtu amechoka, apumzike kabisa.
Uko usngizini

Hivi vyama kila mwaka mahesabu yake yanakaguliwa na CAG na wanapewa hati ya ukaguzi.
 
Wanadhani wakisema mbowe katoa hela ya uchaguzi wanamjenga kumbe wanambomoa

How come mwenyekiti for 20;yrs Leo chama hakina hela ya uchaguzi
 
CCM wanamiliki zaidi ya Frame za biashara elfu hamsini nchi nzima, majengo ya biashara countless, viwanja vya mpira, biashara ya mavazi ya chama , nk.

Why CHADEMA hawajafikiria kuwa hata na vyanzo mfano wa CCM vya mapato nchini
Maana yake hawajatumia pesa zao kwa busara, hiyo ndo failure yenyewe ninayoimaanisha. Wana kisingizio gani cha kushindwa kutengeneza sustainable cash flow kwa ajili ya kugharamia core activities za chama kwa wakati wote?
 
Uko usngizini

Hivi vyama kila mwaka mahesabu yake yanakaguliwa na CAG na wanapewa hati ya ukaguzi.
Issue sio mahesabu kukaguliwa, tunazungumzia busara za matumizi ya fedha nyingi walizokuwa wakipata. Kama walivuna mabilioni ya fedha na kiongozi wa chama hakuona busara kwa chama kuwa na sustainable cash flow kusaidia shughuli za chama wakati wote, hiyo ndo failure tunayoijadili.

CAG kukagua mahesabu mara nyingi ni kuhakikisha tu ikiwa taratibu za matumizi ya fedha zimefuatwa i.e. risiti za manunuzi zipo kwa usahihi etc, ila kuhusu busara ya matumizi ya fedha hilo sio jukumu la CAG. Kwahiyo kupewa hati ya ukaguzi na CAG, ni jambo lisilo na maana sana kwa muktadha wa kujadili busara na ubunifu wa viongozi kwenye matumizi ya chama.
 
Sio kwamba anachangia Bali anakikopesha chama kwa riba.
Duh, ndo maana nikasema tukiona mahesabu itatusaidia sana, kwa maana kama kuna pesa zinaingia kama mkopo zitaonekana tu pale kwenye cash flow statement, halafu sasa ndo hoja ziibuke juu ya hili. Tatizo kuna mambo ya msingi halafu yanawekwa kuwa siri
 
Tatizo kubwa sana tena sana, kama umekuwa kiongozi wa chama kwa miaka 20 halafu bado unatoa pesa zako mfukoni, hiyo maana yake umeshindwa kuifanya taasisi kuwa na sustainability kwenye vyanzo vyake vya mapato.

Hii ni hoja nzito ya Mbowe kupumzishwa siasa na uongozi wa hiki chama
Kawashauri hao wenyeviti wa vyama vinginevyo vikiwemo CUF, TLP, TADEA na wengineo. Usituchoshe na chuki zako kwa Mbowe, eboo! What is miaka 20. Unashindwa kula ugali Mbowe akiendelea kuwa mwenyekiti?
 
Kununua bond sio kufanya biashara mkuu, ni matumizi bora ya pesa, kuliko kununua kofia.

Bond ingeweza kuwapatia stable cashflow ya miaka 25 ijayo ambayo wangeweza nunua makofia kila mwaka kwa riba za bond
Hata hizo kofia tunauziwa, sasa kama tunanunua hizo kofia hiyo pesa huenda wapi?
 
Sheria ya vyama vya siasa inataka vyama kupeleka taarifa zao za kifedha kwa msajili kila mwaka; kwakuwa vyama hivi vina maslahi kwa nchi, ningependekeza ofisi ya msajili kuzitoa taarifa hizo kwa umma wa watanzania, kuna viongozi wanastahili kufunguliwa kesi za matumizi mabaya ya fedha za umma.

Nimeshtushwa sana na hoja ya Wenje; kwa Chama cha Chadema kuchangiwa Milioni 250 na Mbowe, ambaye amekuwa mwenyekiti kwa miaka 20; hii ni hoja nzito kabisa ya kumpumzisha siasa huyu baba.

Kwa tafsiri ya kwenye biashara, Chadema haina cash flow za ku run operations zake za kila siku. Hii ni tafsiri ya taasisi iliyofilisika.

Lakini ukiwachimba sana Chadema, iliwahi kuwa na wabunge karibia 80 bungeni, maana yake hiki chama kina karibu muongo mmoja wa kujichotea pesa nyingi za ruzuku na misaada ya wafadhili nje.

Sasa hoja iliyoletwa na Wenje mezani kwamba chama kinakosa hata pesa za vikao kwa sasa, ina tafsiri ya uongozi ulioshindwa, na tukifukunyua zaidi - ikiwa msajili atatupatia taarifa za kifedha za hiki chama, yaani nahisi kabisa kuna viongozi wanatakiwa kwenye hichi chama kujibu kesi za matumizi mabaya ya madaraka.

Kama Lissu hajachanga, namuunga mkono kabisa, hata mimi nisingechangia hata senti tano, kuna haja kwanza ya kujua Chadema imefanyia nini pesa za ruzuku mabilioni ya shilingi..

Unaweza kushangwazwa eti chama kimetumia bilioni 3 kununua kofia, sasa huu si utoto kabisa huu, yaani waliacha kuwekeza hizi bilioni 3 kwenye bonds ambapo wangekuwa wanakula interest ya zaidi ya milioni 400 kila mwaka ambazo wala usingesikia kelele za kuomba michango.

Huyu mtu amechoka, apumzike kabisa.
Halafu eti wanakwenda kuwekeza mabilioni kwenye jengo na mashamba kule Ifakara.

Nina mashaka makubwa sana huo uwekezaji unaweza kuwa Kwa jina la Mbowe na familia yake.

Tuambiwe vizuri Ili tuelewe vinginevyo Mbowe anastahili kuwa Jela
 
Back
Top Bottom