Kwa hili la mzigo huu, wacha tu bandari ibinafsishwe

CCM bwana!mmeona mmetafuta kiki ya kuondoa tozo kwenye miamala imebuma mmekuja na hii Sasa?Hatutaki bandari yetu
 
Mkuu kama ni kweli unachosema agent wako anakudanganya labda kama uko kisiasa zaidi.
Mm niko CFA, sasa hivi hakuna meli inayokaa wiki bila kushusha tangu TICTS iondolewe
Noted ✍️
 
hakuna anayepinga ila sema bahasha hazijawafikia tu..
 
Ni mpumbavu tu anaweza kuona faida yaa kontena moja ni kuubwa kulika hasara ya milele kwa taifa.
Mjaa laana
 
Inaqezekana unasema ni kweli ila kumbuka makuadi wa ubinafsishaji wana mkono mrefu na mikakati hatarishi, wana uwezo wa ku inflitilate mfumo wa bandari na kuudhoofisha kimkakati ili kuhalarisha malengo yao ya kinyonyaji.
 
Ubinafsishaji wa bandari ni muhimu. Ila mkataba huu ndio una ukakasi kwa watu.
 
Inaqezekana unasema ni kweli ila kumbuka makuadi wa ubinafsishaji wana mkono mrefu na mikakati hatarishi, wana uwezo wa ku inflitilate mfumo wa bandari na kuudhoofisha kimkakati ili kuhalarisha malengo yao ya kinyonyaji.
SAWASAWA....ndio wanaposti sana humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…