Kwa hili la mzigo huu, wacha tu bandari ibinafsishwe

Yaani bandari iuzwe kwa ajili ya kakontena chako cha vi nguo vya kichina?
Huna akili.
Kilio chetu mkataba uboreshwe hatupingi uwekezaji
Hatupingi uwekezaji. Tunapinga KUPIGWA kupitia hiyo MIKATABA.
 
Mzee hapo umechemka biashara ni kuuza na kununua kikubwa ku balance. Tanzania tunacho export ni mali zilezile toka miaka ya 70 hatuna viwanda vya kuzalisha mali za kushindana na nje. ndio maana unaweza kununua bidhaa ya china bei rahisi kuliko iliyotengenezwa Tz. Hoja yako uchumi sio import tu haina mshiko mtu unauza na unanunua, huyu akileta mzigo hapa anauza analipa kodi. Sijawahi kusikia nchi wao wanauza tu hawana import.
 
Nchi hii hawa wapinzani wanaosema serikali inabana uhuru wa maoni na kutishia watu lakini wao akija mtu na mawazo tofauti na wao basi huyu kibaraka, huyo kanunuliwa na matusi juu. Wewe ukiona mtu yeye kila mtu anaona kahongwa ujue yeye ndio kazi yake sasa haamini njia zingine ila kununuliwa. Hakuna watu wananunuliwa kama wapinzani tuliyaona kipindi cha JPM, kila mwezi alikuwa anasajili mchezaji mpyaa. Mama hatoi kitu ndio shida hapo.
 
Wanalazimisha bandari zetu ziuzwe kwa visingizio vya kuchelewasha mzigo ukimuliza mchakatoto wa kutoa mzigo ukoje wanakimbia,hata TIN ukimuliza nini mtakesha.
Nilivyoona tuu konteina " nikaingiwa mashaka
 
Wanaopinga wana hoja wasikilizwe! Wanaosapoti mmeshindwa kujibu hoja za wanaopinga!! NB; Haiwezekan et mkeo analiwa na jiran halafu solution yako ni kuhama mtaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamsusia kisha unaenda kuoa mwingine[emoji1][emoji2][emoji3]
 
Kubinafsisha nako wala siyo solution na hakuna hata guarantee kama terms za mikataba yenyewe ndiyo hii isiyovunjika kwa sababu yoyote.

Mpaka hivi sasa kwanza kuna mwekezaji pale wale nduguze TICTS hapo bandarini.
 
Mkuu majuzi nilikuwa TPA wanasema wao hawana tatizo kabisa la ufanisi, tatizo ni hao shipping line au wakala wa meli wanakuwa hawajakamilisha kufanya clearance ili meli iruhusiwe kutia nanga na kushusha mizigo, msizushe visingizio visivyokuwepo kuhalalisha bandari kupigwa mnada.
 

Bora hilo container lirudi lilipotoka huko china, maana inaonyesha wewe mwenyewe ni ngumu wa kuelewa.

Ipo hivi:-
Hakuna yyte anayepiga ubinafsishwaji, kinachopingwa ni aina ya mkataba uliosainiwa. Ila endapo Mkataba ukirekebishwa hao walalamikaji hawatakuwa na shida tena.
 
Agent ananiambia upande mwingine wameclear kila kitu, ni upande wa bandari tu unasua sua kwa kuwa kuna foleni na mizigo inapakuliwa very very slow
 
Pm ameshasema mkataba bado na ukiwa tayari maoni ya wananchi yatazingatiwa,
Nafikiri imeeleweka
 
Pm majaliwa ameshasema mkataba bado na ukiwa tayari maoni ya wananchi yatazingatiwa, nafkiri imeeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…