Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Asante kwa mchango wenye mashikoUpendo wa mtoto unajengwa na wazazi. Sasa kama wewe hukumfundisha mwanao upendo halafu unataka kupendwa utasubiri sana
Tunawaona watoto ambao wanafanikiwa na kuwasaidia wazazi wao na kuelezea vile wazazi walivyowapenda na kuwalae hata katika hali za umaskini wao
Huyu mzee faraj ni Kati wa wababajina, na wanaume katili
Umemsikia anachokisema ommy mwenyewe lakini au umekuja kujibu tu hoja bila kufuatilia...Mama yake alifariki akiwa la pili alimezeshwa lini hizo sumu acheni kutteea upuuzi
Omy hajakosea popote
Kuna mmoja kasema ommy alikuwa la pili ko hakuwa anajua lolote ko hizo sumu hakumezeshwa...na wewe nakuuliza ikiwa mama yake alimjibu hivyo ye anamchukia kwa nini sasa....its very simple....nilikuwa safarini ndio nimerudi so why hatesKwa nini Wanaume wengi mnapenda kujitetea kwa kipengele hiki cha chuki kupandikizwa,mkuu umesikiliza Ommy alivyoelezea alipokuwa anamuuliza marehem Mama yake alimueleza kwamba baba yako amesafiri iko siku atarejea (hapa na mpongeza huyo mama alionesha ujasiri mkubwa) kitendo hiki kilisababisha Ommy ajiulize why baba yake hakutokea hata siku ya msiba.
Hakuna chuki hapo sio kila Mwanamke ni mjinga
Hii naona ishakuwa vita ya wazazi wa kike na kiumeTusishabikie utelekezaji wa watoto
Mama ommy alifariki ommy akiwa primary school. Fikiria wewe ni baba wa aina gani hata pamoja na mzazi mwenzio kufariki hushughuliki wala hujali kumtafuta na kumtunza mwanao katika umri huo mdogo!?
Haya mwanae kasema japo hawajawahi kuwa na ukaribu heshma yake kama baba inabaki palepale. Kuna nini cha ziada ya heshma?
Heshma yashinda mali na ommy anampa heshma; unaweza kuonewa kila kitu kwa kudharauliwa
Ni video ipi Ommy ametamka ana mchukia baba yake mkuu?Kuna mmoja kasema ommy alikuwa la pili ko hakuwa anajua lolote ko hizo sumu hakumezeshwa...na wewe nakuuliza ikiwa mama yake alimjibu hivyo ye anamchukia kwa nini sasa....its very simple....nilikuwa safarini ndio nimerudi so why hates
Hii naona ishakuwa vita ya wazazi wa kike na kiume
Hata hivyo baba ommy hajaomba chochote kwa ommy na wala hana haja na chochote .kilichoibua huu mjadala ni media tu ili kutaka public attention....yuko bize anaendesha Bajaj zake na hana habari na mtu....ninachompenda huyu mzee hana maneno mengi lakini fahamu nyuma ya ukimya wake kuna mambo mengi kayazuia...kaongea ommy mmemuamini na je akiongea huyu mzee mtamuamini nani...
Nakuona baba ommy unavyopambana kujitetea. Huu muda umeshaambiwa unaheshimiwa kama baba mshukuru Mungu mwanao hajakukana amekuheshimu kama sperm donor, sasa kaa kwa kutulia na kupambana na hali yakoNi kweli....na kwa kuongezea wale ambao hawajawahi ku experience hii situation watamuhukumu baba ommy moja kwa moja but kwa tulioishi ndani ya hali kama hii tunaelewa nini kinaendelea
hauleweki vizuri lakini una pointi ya muhimu sanaBaba alifanya kwa starehe kama wengine wanavyofanya chukuria starehe,alimyetekeza mtoto coz akuwa na na ya mtoto so na yeye atelekezwe tu
Kwanza ww ni mwanaume au mwanamke?Kweli wewe mjinga.
Mtt mwenyewe kama ndio huyo tetesi zinadai mke wa mtu huko Mombasa mm ningesema hewala
Mtoto hawezi kuwa fimbo ya kunichapia kamwe,nina maana gani?kama mzazi mwenzangu anashindwa kuniheshimu na kila ninachotoa kinaonelana sio kitu na bado mtt analishwa maneno mabaya kuhusu mbaya zaid yote anayoelezwa sio ya kweli basi acha iwe hivyo wala sitahitaji msaada wa huyo mtt,mnatetea huyo Ommy dimpoz bila kusikiliza upande wa baba yake,Yaan nikonaga situation kama hii then nikimfikiria mzazi mwenzangu najisemea hawa hawaelewi tuu,ila uzuri nilishamwambia mtt huyo ni mama yako na ww ni mwanaume ukikua utajua kwanin niliamua kukaa mbaliHili ni kwa wazazi wote wa kike na wa kiume. Ukitelekeza mtoto wakati hajiwezi hajielewi anakuhitaji hakikisha na wewe unaendelea kujitelekeza akishakuwa akaweza kusimama, kujihudumia na kutambulika na dunia
Halafu wewe nawe Lazima uko kwenye chama cha wanaotelekeza mimba na watoto wewe
Nakuona baba ommy unavyopambana kujitetea. Huu muda umeshaambiwa unaheshimiwa kama baba mshukuru Mungu mwanao hajakukana amekuheshimu kama sperm donor, sasa kaa kwa kutulia na kupambana na hali yako
Nyie ndio sababu ya wanaume kutelekeza watoto,acheni kuficha tabia zenu mbovu kwenye migongo ya watoto kwa kigezo cha baba hajawajibikaKumbe ni TETESI tuu!?
Halafu hata kama ni kweli bado huyo mzee atakua ndio sababu!
Acheni ommy aseme ataendelea kumheshimu ila ukaribu nae hana sababu hamjui madhara ya kutelekezwa kwake yamempeleke kupitia mswahibu gani tangu utotoni hadi sasa
Mtoto hawezi kuwa fimbo ya kunichapia kamwe,nina maana gani?kama mzazi mwenzangu anashindwa kuniheshimu na kila ninachotoa kinaonelana sio kitu na bado mtt analishwa maneno mabaya kuhusu mbaya zaid yote anayoelezwa sio ya kweli basi acha iwe hivyo wala sitahitaji msaada wa huyo mtt,mnatetea huyo Ommy dimpoz bila kusikiliza upande wa baba yake,Yaan nikonaga situation kama hii then nikimfikiria mzazi mwenzangu najisemea hawa hawaelewi tuu,ila uzuri nilishamwambia mtt huyo ni mama yako na ww ni mwanaume ukikua utajua kwanin niliamua kukaa mbali
Nyie ndio sababu ya wanaume kutelekeza watoto,acheni kuficha tabia zenu mbovu kwenye migongo ya watoto kwa kigezo cha baba hajawajibika
Hapo ss kama mama alifariki jamaa akiwa mtt mdogo mzee alifanya makosa kumsusa,hapo mzee alichemshaNa kwanini tangu mzazi mwenzio afe mtoto akiwa primary school standard2, hadi mtoto kawa mwanaume mtu mzima wewe kama baba hukumtumtunza!? Au ulikua unamtumia marehemu mama yake kama fimbo ya kumchapia mtoto?