Kwa hili la Ommy Dimpoz na Babake wee uliye biological mother/father ukimkataa/kumtelekeza mtoto wako ujue umemuumiza sana kisaikolojia na makuzi yake

Mkuu huyu mwanao hawezi kukukana asee[emoji848][emoji848]
 
Mkuu huyu mwanao hawezi kukukana asee[emoji848][emoji848]
Huwezi kujua yajayo mbeleni...akipata nafasi ya kukaa na mama yake tu hata miaka miwili mfululizo...najua sitakuwa na jema ntakalobakiziwa maana mama yake ana roho mbayaaaa sana namjua na that's why sikutaka kumuachia mtoto....wanawake hawaaminiki aisee
 
Mkuu kama historia yangu mi nilimchukua ana miaka 4 hadi sasa ana 12yo na sijawahi kuwa na mpango hata wakuonyesha mabaya ya mama yake
Na Wala usionyeshe mwanaume aliyekamilika hatoi MAPUNGUFU ya mzazi mwenzake kwa watoto.

Kuna hekima kubwa Sana ndani yake.

Haya mambo ya kusema baba yako mbaya waachie akina mama ndio nature yao. Wanapata relief wakifanya hivyo
 
Ila sio wote mi Maza walitengana namshua miaka ya tisini hajawahi kuniambia mabaya ya mshua
 
Wazee wengine huwa ni wapumbavu tu, Kwanza Ommy ana moyo kumskiliza mzee mwenye tamaa kama huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…