witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Mkuu huyu mwanao hawezi kukukana asee[emoji848][emoji848]Unamuhukumu huyu mzee kwa kuwa alimtelekeza mwanae sawa jeee umefuatilia ikajua sababu ya huyu mzee kumtelekeza mtoto wake wa kumzaa....hebu usihukumu kutokana na matokeo hukumu kutokana na chanzo...
Ninaishi na mtoto wangu ambaye niliamua kumnyang'anya mama yake miaka sita iliyopita na mwakani anaenda kidato cha kwanza niulize kwa nini nilimchukua kwa nguvu akiwa under 10 in box ntakujibu.