Kwa hili la Ommy Dimpoz na Babake wee uliye biological mother/father ukimkataa/kumtelekeza mtoto wako ujue umemuumiza sana kisaikolojia na makuzi yake

Kwa hili la Ommy Dimpoz na Babake wee uliye biological mother/father ukimkataa/kumtelekeza mtoto wako ujue umemuumiza sana kisaikolojia na makuzi yake

Unamuhukumu huyu mzee kwa kuwa alimtelekeza mwanae sawa jeee umefuatilia ikajua sababu ya huyu mzee kumtelekeza mtoto wake wa kumzaa....hebu usihukumu kutokana na matokeo hukumu kutokana na chanzo...
Ninaishi na mtoto wangu ambaye niliamua kumnyang'anya mama yake miaka sita iliyopita na mwakani anaenda kidato cha kwanza niulize kwa nini nilimchukua kwa nguvu akiwa under 10 in box ntakujibu.
Mkuu huyu mwanao hawezi kukukana asee[emoji848][emoji848]
 
Mkuu huyu mwanao hawezi kukukana asee[emoji848][emoji848]
Huwezi kujua yajayo mbeleni...akipata nafasi ya kukaa na mama yake tu hata miaka miwili mfululizo...najua sitakuwa na jema ntakalobakiziwa maana mama yake ana roho mbayaaaa sana namjua na that's why sikutaka kumuachia mtoto....wanawake hawaaminiki aisee
 
Mkuu kama historia yangu mi nilimchukua ana miaka 4 hadi sasa ana 12yo na sijawahi kuwa na mpango hata wakuonyesha mabaya ya mama yake
Na Wala usionyeshe mwanaume aliyekamilika hatoi MAPUNGUFU ya mzazi mwenzake kwa watoto.

Kuna hekima kubwa Sana ndani yake.

Haya mambo ya kusema baba yako mbaya waachie akina mama ndio nature yao. Wanapata relief wakifanya hivyo
 
Ila sio wote mi Maza walitengana namshua miaka ya tisini hajawahi kuniambia mabaya ya mshua
 
Wazee wengine huwa ni wapumbavu tu, Kwanza Ommy ana moyo kumskiliza mzee mwenye tamaa kama huyo.
 
Back
Top Bottom