Kwa kauli hii ya Rais Samia, Jaji Biswalo anapaswa kujiuzulu haraka

Kujiuzulu na kuundwa kwa tume hakujawahi kutupatia majibu ya matatizo katika nchi hii.

Ni muda sasa kufanya mambo tofauti.

Afunguliwe mashtaka, ahukumiwe kama hana hatia aendelee na maisha yake iwapo atakutwa na hatia basi aende jela kama wahalifu wengine tu.
 
AKIJIUZULU mwaka 2025 nachukua FOMU ya KUGOMBEA URAIS
Sio Rahisi KUJIUZULU usishangae Baada ya JAJI MKUU Prof. Juma Kustaafu Mwaka huu huyo jamaa akawa Mbadala wake
 
 
Mkuu sasa ndyo muda wake wa kufanya kinachotakiwa kyfanyika kama kuna pesa ziliibiwa zirudishwe na walioiba wawajibishwe lakini akianza kutuambia sisi binafsi naona ni kama zile hadithi alizokuwa ananisimulia bibi yangu kule kijijini
 
Una manisha akajiajiri?
 
Na mimi nilielewa hivyo.
 
Bora aweke wazi wahusika wajirekebishe
 
Hii ni sabuni ya kusafishia chama
 
Kampa ujaji, na wamewapa majaji kinga, hii kwa comedy tupo vizuri sana
 
Kwanini na yeye si alikua sehemu ya wahusika

Wewe ni chawa mama?
Ndiyo maana huwezi akamlaumu Hayati JPM kwa kuuza nyumba za Serikali alipokuwa ni Waziri wa Ujenzi kwa sababu aliyetoa amri ya nyumba hizo kuuzwa alikuwa ni boss wa JPM. Huwezi pia ukamlaumu mama katika hili. Yaani aogope kurekebisha kitu akiwa Rais kisa wakati kinafanyika alikuwa mmojawapo kwenye Serikali?
 
Magari yote waliyochukua wamejigawia wao hata alivyokua anaongea Biswalo sura zao zilionekana ni za upigaji tu...
 
Hata huelewei majukumu ya Rais wa nchi hii.
 
Ni vizuri yote yasemwe na kuwekwa wazi ili yasijirudie tena kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…