Si wengibe wanapewa teuzi au?Huyu maza ngoja nimtetee Kwa hili , kipindi cha Marehemu gaidi huyu maza hakua na nguvu yeyote ndio maana kuna kipindi alitaka hata kujiuzulu ila alipigwa biti.
Wacha tu nae ateme nyongo.
Ila Kwa mitazamo wangu maza inabidi mambo mengine ya hovyo yaliyofanyika kipindi cha Mwenda zake awe anayafanyia kazi kimyakimya bila kutaarifu umma kwani ni kama analeta taharuki na kuongeza kinyongo Kwa wananchi.
Namshauri wote waliofanikisha madhambi hayo awawajibishe kimya kimya
Kwa maoni yangu, mtu akiteuliwa na Raisi ina maana ni 'mtakatifu' wa zama husika.