Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Sawa nimekuelewaWatu wakija na shida muwa fikirie jamani, mi kipindi nimesimamishwa chuo dom nilipitia magumu ACHA TU ndo ilikua mara yangu ya kwanza tangu nizaliwe nakunywa uji wa chumvi, kisa hela ya sukari hamna.
Nilipoona mambo magumu nikajisalimisha Kwa mbunge Antony mavinde nako sikupata msaada wowote, japo aliniahidi nikachoka kwendako kwake, nalia sana nikikumbika inaumiza mtoto wa kiume kuteseka.
Huwa nikiona mtu anadai ana shida hata kama ni tapeli Huwa nakuwa mzito kumdharau, kwani Nisha pita hayo maisha, acheni tu wakuu, nyie watoto wakishua msitutukane sisis masikini huwezi saidia kausha Kuna mtu atakuja kufa kimasihara kisa kukosa msaada Kwa kupuziwa, msifanye hivo kaka zangu na wadogo zangu sisi tumeishi hizo changamoto Kuna muda hata mia unakosea.
Yule jamaa mwenye uvimbe kichwani kalia sana asaidiwe, tukachukulia poa, tukaenda mchangi upendo nkone gari, jamaa kapoteza maisha hapa hapa bongo, but ndo maisha
Mbona pambe tu uji wa chumvi, sukari ni hatari kwa afya yako..Watu wakija na shida muwa fikirie jamani, mi kipindi nimesimamishwa chuo dom nilipitia magumu ACHA TU ndo ilikua mara yangu ya kwanza tangu nizaliwe nakunywa uji wa chumvi, kisa hela ya sukari hamna.
Pole sana.Huwa nikiona mtu anadai ana shida hata kama ni tapeli Huwa nakuwa mzito kumdharau, kwani Nisha pita hayo maisha, acheni tu wakuu
Yupi huyo? Yule anakunywa pombe kama anakunywa maji ya dawasa?Yule jamaa mwenye uvimbe kichwani kalia sana asaidiwe, tukachukulia poa, tukaenda mchangi upendo nkone gari, jamaa kapoteza maisha hapa hapa bongo, but ndo maisha
Hata sijui kitu oote under huu msamaha 😀😀😅nili ghafilika , kumradhi🙏
Mbona hio taarifa ya kifo sijaiona aisee , ila alikua anateseka sana !Watu wakija na shida muwa fikirie jamani, mi kipindi nimesimamishwa chuo dom nilipitia magumu ACHA TU ndo ilikua mara yangu ya kwanza tangu nizaliwe nakunywa uji wa chumvi, kisa hela ya sukari hamna.
Nilipoona mambo magumu nikajisalimisha Kwa mbunge Antony mavinde nako sikupata msaada wowote, japo aliniahidi nikachoka kwendako kwake, nalia sana nikikumbika inaumiza mtoto wa kiume kuteseka.
Huwa nikiona mtu anadai ana shida hata kama ni tapeli Huwa nakuwa mzito kumdharau, kwani Nisha pita hayo maisha, acheni tu wakuu, nyie watoto wakishua msitutukane sisis masikini huwezi saidia kausha Kuna mtu atakuja kufa kimasihara kisa kukosa msaada Kwa kupuziwa, msifanye hivo kaka zangu na wadogo zangu sisi tumeishi hizo changamoto Kuna muda hata mia unakosea.
Yule jamaa mwenye uvimbe kichwani kalia sana asaidiwe, tukachukulia poa, tukaenda mchangi upendo nkone gari, jamaa kapoteza maisha hapa hapa bongo, but ndo maisha
🤣🤣Utu uko wapi?
Screenshot ziko wapi?
Summary ya kilichotokea iko wapi?
Tunasoma msamaha ambao hatujui ulikosea nini?
Kwanini hulali mapema?
Kwanini ukilewa unachat?
Ukilewa usichatiJana nililewa kwa stress za kupoteza pesa kama milioni 40 kizembe kwa kumwamini ndugu kijinga sana
Kwenye reply zangu za jana nilikosea sana ni ulevi tu
Kweli nisameheni wale nilio wakera🙏
Dah nilichati na kwenye group la ukoo , niliwatukana 😅Ukilewa usichatiView attachment 3586940
Hapana huyo anae kunywa pombe ni profesa hajafa, alie poteza maisha ni mwingine aliomba sana msaada, mpaka akasema anapitia maumivu makali na daktari KASEMA si punde anakufa na kweli alikufa mana alitakiwa awahi indiaMbona pambe tu uji wa chumvi, sukari ni hatari kwa afya yako..
Pole sana.
Yupi huyo? Yule anakunywa pombe kama anakunywa maji ya dawasa?
Ohooo mbona muda sana mpaka tulisha sahau, baada ya kupasuliwa muhimbili tu alikaa siku Moja sijui, akafarikiMbona hio taarifa ya kifo sijaiona aisee , ila alikua anateseka sana !
Sipati picha uliwaambia wanakusanyika kufanya mitambiko yao na laana zaoDah nilichati na kwenye group la ukoo , niliwatukana 😅
Bwashee.... Pole sana !!!!Jana nililewa kwa stress za kupoteza pesa kama milioni 40 kizembe kwa kumwamini ndugu kijinga sana
Kwenye reply zangu za jana nilikosea sana ni ulevi tu
Kweli nisameheni wale nilio wakera🙏
Siku hizi nawewe umechangamka sana na kuchachuka siyo mchezo..😆Haya kaa vizuri niutie