Kwa kilichotokea jana, nisameheni tu wana JF

Status
Not open for further replies.
Mkuu fika ofisi za Jamii Forums saa sita kamili fika ukumbi wa mikutano floor ya kwanza ukiwa na screen shot za yote uliyoyaandika iweke katika ppt kutakua na screen kubwa ya kudisplay.

Fika bila kukosa

By utawala.
 
Bwashee hii hutokea.
Ajali kazini ndiyo maisha.
Pombe noma. Niliwahi mzingua afisa mmoja mkubwa wa jeshi la mabaka mabaka nishalewa nikamwambia "I will hack your damn fuckin army" ...🤣🤣🤣

Palichafuka kinoma akataka kuwaita vijana wanishughulikie..

Bro zangu college mate wao wa UDSM wakamtuliza akapunguza masifa yake yule mhaya.
Shemeji zangu wahaya msichukulie personal hii 😄😆😆
Kwa kweli nilimkosea yule bro.
 
Hahahaha mimi nakunywa kawaida tu ila kwa jana nilizingua😅
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…