Kwa kizazi cha Sasa. Ukishakuwa single mother tafuta tuu Pesa. Hakuna Mwanaume atakayehitaji single mother Maskini asiye na kazi

Utasikia wakisema “ mwanaume tafuta Hela”
Wanajidanganya mno.
Ndio maana wanawake wengi siku hizi wamekuwa makahaba, wachawi na washirikina, wanahaha, wamejaa tamaa .
Wanamakasiriko wanaume hawataki kugandwa na kutwisha majukumu ya kulipia kodi ya nyumba , chakula, mavazi n.k

Unajiuliza kama asingekutana na wewe hiyo kodi ya nyumba angelipiwa na nani?
Inamaana moja moja kwa huyo ni muuzaji, ni cha wote.
Anaweza kuliwa na yoyote.
 
Japo umetumia lugha ngumu but ni fact,
Shida hawa wadogo zetu nao wamekuwa laini laini na kupenda slope
Mimi nimeweka standard zangu kuanzia umri , siwezi kutoka na mdada below 27, au ambaye mmepanga kutoka alafu anakwambia sina nauli,
Single parents wa kike nins criteria zao
Kiufupi ni wanaume tuwe na standard hasa hawa wadogo zetu chini ya 30s
 

WAELEWE tuu kwamba hata hizô pesa zikipatikana bado hazitawahusu
 

Upo Sahihi Kabisa
 
Juu ujumbe ni mzuri lakini huku uliko uleta hakuna mtu wa namna hiyo hata mmoja.

What a lost Target?
 
Kwa taarifa yako sasa Mwanamke hata kama anafanya kazi benk bado Kodi ya Nyumba anahakikisha kuna Fala Mmoja mwenye nyege zake atailipa.

This is the Whole Ugly truth
 
Upo Sahihi Kabisa


Wapo wengi tu .
Huku pia kuna kada za kila aina ingawa rate inaweza ikawa sio kubwa kiivyo kama usemavyo lakini hawakosi kuwemo.
Mbona wengine wanajitokezaga kujielezea wenyewe kwa uwazi tu kwa Habari za maisha yao ?!

Hawajakufuata inbox kukutegeshea mingo za kukutaka kukudangia ??!
Buyer beware.
 
Mleta mada utakuwa unasumbuliwa na ugonjwa wa akili au zero confidence na maisha yako, kila siku na mitopic yako ya single mothers, kwani walikufanya nini? watu wengi wametunzwa na single mothers na wamekuwa watu wa maana katika jamii, so acha stereotype na kuwakosea mama za watu, wengi wana kazi zao wanajiheshimu na hawaombi pesa kama unavyodanganya, utakuwa na mental illness au umefanywa kitu kibaya na maisha maana chuki zako kwa single mothers sio kawaida na kila siku unaandika mitopic mirefu unajaza humu, huna kazi?
 
Sii mnatamba na hizo mbususu zenu tamu 😜
E u tule jibu kwa nini nyie single maza mbususu zenu tamu sana?
Ngoja niulze wenye hunikula,, au huyu jamaa akimalza kula apa ntamuulza kam n tamu.
 
Ngoja niulze wenye hunikula,, au huyu jamaa akimalza kula apa ntamuulza kam n tamu.
Huyo anayekula mwambie ale kwa kiasi anibakishie na mie utamu wa mbususu wa single mama
 
Na hata hivyo kwa sasa wanawake wanapambana mno , vijana wamekua Marioo tu ndio maana utasikia kila kona sifa za mishangazi zikimwagwa🤔
Vijana wanapambana sana mkuu. Ukiona mpaka kijana amekata tamaa au amesimamisha mapambano akusanye nguvu ujue ametaabika balaa.

Wanawake wanaonekana wanapambana kwa sababu mfumo unawabeba, mwanamke akiamua kupambana anaukuta tayari mfumo ushamuandalia mazingira wezeshi.

Kumbuka pia mwanamke ana advantage ya kula vizuri, kufunguliwa biashara, kusomeshwa n.k by trading sexualy favor tofauti na mwanaume ambae atatakiwa kupambana mwenyewe from scratch.

Vijana wa kiume wanapambana sema mazingira sio wezeshi ukimuona mwanaume mwenzako jobless au anafanya chochote ili kusurvive ikowemo kutembea na mishangazi, kama uwezo unao msaidie usimponde
 
Single maza tunywe sumu kwa namna tunavyoandamwa
The fact that you are single mother is a prove that you are stupid. You are an idiot if you get pregnant for a man who hasn't made you his wife and you deserve whatever shit comes with that.

As a woman you are a gatekeeper of sex and fertility, meaning no sex happens without a woman's consent.

The only way a woman will ever know if a man is serious about being a father is if he marry you or pay your brideprice. Any woman decide to get pregnant without that having happened is an idiot

Don't let a man make you a mother before he makes you a wife.
 
Sijaponda single mother.
Nimewaambia wafanye Kazi kwani hakuna Mtu mwenye Akili Zake timamu achukue Mwanamke single mother Maskini asiye na Kazi. Huyo Mtu hayupo Zama hizi
Single Maza wanaongoza kuolewa.
Endelea kuota
Usiseme wanaume sema Mimi sichukui single maza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…