Kwa kizazi cha Sasa. Ukishakuwa single mother tafuta tuu Pesa. Hakuna Mwanaume atakayehitaji single mother Maskini asiye na kazi

Kwa kizazi cha Sasa. Ukishakuwa single mother tafuta tuu Pesa. Hakuna Mwanaume atakayehitaji single mother Maskini asiye na kazi

single mother chapa tembea,
Sinlge mother wenye hela Ni fursa kwa vijana wapaka mkongo kuwakojozo!
Kijana epuka kuishi na mwanamke mwenye mtoto asiye wako,
Epuka kuwa na msichana aliye lelewa na single mother hutoboi, Hivi vitoto vya kike vya2000 vingi Ni uzao wa single mother na venyewe vinazaa hovyo.
acha roho mbaya. hao single mothers si nyiwenyewe mnawapa mimba na kuwaambia wasitoe mimba. shwain achen roho ya usalit nyi watoto wa 2000
 
Niko kwenye experiment Mwaka wa pili huu bado sijajuta. Uchunguzi itakamilika baada ya miaka 5 (Siku 1825, hapa naamini true color zitaonekana tu ikibidi naweza ongeza mpaka miaka 7.5)
 
1-kwani kuna single mother aliyeomba kukaa na wewe .

2-kuna single mothers wamefiwa na waume zao ila hawana makuumahor

3-kuna single mothers walitoa kipochi manyoya kama ishara ya upendo kwa baba mtoto malipo wakatelekezewa mtoto.

majority ya single mothers ni watu safi ila wanasulubiwa kwa makosa ya wanaume wakwepa majukumi
 
Surely , haya mambo ni kweli kabisa single mother ni tatizo. Hakuna namna watasemewa vizuri. Mwanamke akishazaa bila kuishi na mume ni tatizo.
 
Midomo yenu hailipiwi endeleeni kuongea mpaka mkifa mjazwe pamba midomoni mwenu maana maneno hayalipiwi, kinawauma nini single mom wakiolewa? Anaolewa mwingine we unawashwa maajabu.
 
Back
Top Bottom