MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Kwani single mothers wenyewe wanasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha roho mbaya. hao single mothers si nyiwenyewe mnawapa mimba na kuwaambia wasitoe mimba. shwain achen roho ya usalit nyi watoto wa 2000single mother chapa tembea,
Sinlge mother wenye hela Ni fursa kwa vijana wapaka mkongo kuwakojozo!
Kijana epuka kuishi na mwanamke mwenye mtoto asiye wako,
Epuka kuwa na msichana aliye lelewa na single mother hutoboi, Hivi vitoto vya kike vya2000 vingi Ni uzao wa single mother na venyewe vinazaa hovyo.
Single mother na watoto wao wa kike Ni mabom yanayosubiri kulipuka si wakukaa nawo karibu!Naunga mkono hoja Kuna mmoja kanila sana hela zangu eti anasema za mtaji kwenye duka lake kariakoo na Wana zaa hovyo kama paka hao
Tatito bikra nyingi wanatoana kaka na dada hasa zile familia, watoto wanalelewa na beki tatu!Siyo single mother tu; kaa mbali na mwanamke asiyekuwa bikira.
Mkuu nimecheka sana hapa.Serikali ingilieni kati hili swala!
Achana na scarcity mindset.Tatito bikra nyingi wanatoana kaka na dada hasa zile familia, watoto wanalelewa na beki tatu!
limeshakuwa janga sasa hili!Mkuu nimecheka sana hapa.