pole ya nini sasa, pole tuwape watafuta ajiraOoh pole sana
Mkuu wa hiyo taasisi ndio mimi bwasheeKuna siku nimenda ofis moja nikakuta mkuu wa hiyo tasisi anasoma threads za JF, moyon familia kumbe😂😁🙌
Umeshalewa asbh sanaMkuu wa hiyo taasisi ndio mimi bwashee
Ndio madamUmeshalewa asbh sana
Oh sanaa familia 🙌😁😁Mkuu wa hiyo taasisi ndio mimi bwashee
Sawa na wale watabiri wa madhabahuni?Yeah.. hata hili umesema hapa Kuna jamaa naye one day alisema kwamba Kuna watu wanatumia msemo wa kutabiri kwa ajili ya kusema ukweli ambao wanaujua haswa . Na hii ya kujifanya kutabiri nadhani ni technique ambayo inawaweka wao in a safe position ili wasigundulike direct.
Leo huingii mzigoni?Ndio madam
Mwambie mapema kabisa ukiharibu tusijuane milele!. Mnawadekeza!umejibu vzr mno ,hapo kwenye uwajibikaji, unampeleka mtu sehemu apate ajira, baada ya muda ana kua kiburi kwa wenzie kisa ulimpeleka wewe kwa boss na vile boss anakuheshimu ana mpa kijana kazi baada anakua mvivu ,anajua haguswi kisa ulimpeleka
safi sana,usije kufanya hili kosa aiseeSiajiri kwa kujuana😆
Hata hivyo sio lazima kuajiriwa, tafuteni mitaji mjiajiri, mtumie hizo bongo zenye shahada kupata mnachotaka.Wapii we unakimbia kusaidia vijana tusio na ajira😂
Tupeni mitaji, tukaitafute wapiHata hivyo sio lazima kuajiriwa, tafuteni mitaji mjiajiri, mtumie hizo bongo zenye shahada kupata mnachotaka.
Ngoja nimtag apa… turushiane makomboro 😁Unachosema ni kweli kabisa mkuu. Kipindi fulani kiongozi mmoja mkubwa sana akikerwa na mkewe n.k. anakuja humu kutafuta ugomvi, akirushiana makombora humu basi anapata utulivu.
Kwa hiyo sometimes JF ni kama sehemu ambako mtu anakuja kumaliza sumu.
wastaafu wanasema pesa za pensheni zina MAJINI. Kwani unaogopa kuokota kijana Dada ?Mi humu nikae kimasta kumbe naweza kuokota mstaafu humu tukamalizia naye maisha
Namuambia broo na sisi tunataka take home kama yeye .. mbali na kukosa mtaji ata wazo la bishara sina.Tupeni mitaji, tukaitafute wapi
usicheke!!!!! huyu wa abroad tukishindwana nita ku chek uniunge na mstaafu ulie karibu nayehahahahahaha
Nimecheka sana daahHumu JF kaa kwa umakini. Mtu anaweza akasema Nchimbi yuko mbioni kujiuzulu kumbe anayesema hivyo ni Nchimbi mwenyewe.
Hakuna pesa za making zote zinafaa kwa malipo halali.wastaafu wanasema pesa za pensheni zina MAJINI. Kwani unaogopa kuokota kijana Dada ?
Ila humu kuna historic yaani nyuzi zililiwa zinatishaImagine humu Kuna wana member walitabiri ya magu na kuanzisha nyuzi kuhusiana na yatakayotokea ,na kweli Sasa imebaki stories...
La zaidi ni hili la recently kuhusiana na kujiuzulu kwa nchimbi.....
Kuna watu humu aisee wanaona mbali sana .
Threads zao au comments zao kuhusiana na kutabiri kwamba nchimbi hatatoboa. ukizisoma zipo kama ramli zisizokuwa na mashiko ila Leo tunauishi ukweli wa waliyokuwa wakiyaleta humu...
Noma sana .
NB:ndio maana makachero wa Miss wamefanya kijiwe chao cha kudumu humu. 🫵🫵😎