Kwa kweli mke ana faida kubwa katika maisha

Kuna Wanaume wamejaa uchungu na negative thoughts tu, Vile unavyofikiri na kujiona ndivyo utakavyopokea na kuwa.
Ukijinenea mabaya utayapata.

Tunayo furaha sana kuona wanaume walio wengi wanafurahia wake zao,.
Na hilo ndilo kusudi la Mungu.
Kuna post ticktock ilikuwa imeandika hivi โ€œukikutana na Mungu saa hii utamwambia niniโ€? Nikafungua comments section, Comment ya kwanza mwanaume alikuwa ameandika hivi: Nitamwambia ampe maisha marefu mke wanguโ€

My heart melted ๐Ÿฅฐ
 
Kama wanawake hamuwawezi achaneni nao
Fanyani michongo mingine

Bana mmzidi kulalama jushikilieni
Kulalama nyie
Kuua nyie

Inasikitisha sana mnalialia mnoo๐Ÿ˜ข
 
Mithali 14:1
[1] Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.

Mimi mpaka leo sijajua kwanini mwanaume hakuzungumziwa kama chanzo cha migogoro kwenye ndoa. Ni kusema kwamba hakuna wanaume wapumbavu? Kwanini zigo lote amerushiwa mwanamke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ