Just imagine, unatoka Tanzania nchi yenye kila aina ya rasilimali unaenda Thailand kufuata tibaKuna baadhi ya hospital kule India zinahusika na kutoa organs kwa makusudi kuwa na tahadhari sana. Bora Thailand au Turkey tena kwa check up Thailand bei yake ndogo sana $400 unakutana na wataalamu zaidi ya 6 na kufanyiwa CT scan,MRI,full blood check up na mkojo na kinyesi pia wanaangalia.
Matibabu,Hotel na Visa total haifiki hata $10,000
Aisee pole sana.Baada ya mke wangu kujifungua mtoto wa pili ziwa moja likaanza kumuuma anaponyonyesha,
Tukaenda kwenye hospitali moja ya serikali,
Wakampima na kumpa dawa azitumie kwa siku 30 kisha turudi tena
Lakini kutokana na maumivu ilibidi mke wangu asitishe kumnyonyesha mtoto, maana pia lile ziwa lilianza kuvimba,
Tukarudi hospitali na kuwaeleza, tukawaambia pia kuwa ziwa lina uvimbe,
Doctor akamcheki tena, akatuuliza bado unanyonyesha? Tukamwambia hapana,
Akasema hiyo ni hali ya kawaida ikiwa utasitisha unyonyeshaji ghafla, akatufafanulia kuwa kuna tezi za maziwa zinaweza kuvimba kwa sababu mtoto hanyonyi, tukapewa dawa na tukaambiwa turudi tena baada ya kumaliza dawa,
Ziwa likazidi kuvimba, tukaenda hospitali binafsi, wakampima upya, wakakata kinyama kwenye ziwa la mke wangu kwa ajili ya vipimo,
Tukaambiwa turudi baada ya wiki mbili,
Tuliporudi tukaambiwa mke wangu ana saratani ya ziwa stage 2 na inaelekea 3, tukaanza matibabu ya saratani haraka, tuliandikiwa tuende KCMC moshi, tukauguza hapo for almost 2 years, akapata nafuu tukarudi nyumbani,
Baada ya muda ikarudi tena, tukarudi kcmc, akatibiwa hapo kwa miezi nane na akafariki hapo , sijui wa kumlaumu hapo, japo moyo wangu haujawahi kupona kabisa, nadhani sekta ya afya kwa nchi hii ina shida kubwa, nakumbuka doctor aliyetupima kwenye hospitali ya serikali tulimkuta tena kwenye hospitali hiyo ya binafsi na akatuhudumia tena.
Hivi dudubaya amepata wapi hela.ya kwenda India?Ila inaumiza sana.. Sisi 2024 kama sio kujiongeza tungempoteza ndugu yetu.. Inauma sana.. Kapasuka bandama wao wanasema kateguka nyonga
Pole sanaBaada ya mke wangu kujifungua mtoto wa pili ziwa moja likaanza kumuuma anaponyonyesha,
Tukaenda kwenye hospitali moja ya serikali,
Wakampima na kumpa dawa azitumie kwa siku 30 kisha turudi tena
Lakini kutokana na maumivu ilibidi mke wangu asitishe kumnyonyesha mtoto, maana pia lile ziwa lilianza kuvimba,
Tukarudi hospitali na kuwaeleza, tukawaambia pia kuwa ziwa lina uvimbe,
Doctor akamcheki tena, akatuuliza bado unanyonyesha? Tukamwambia hapana,
Akasema hiyo ni hali ya kawaida ikiwa utasitisha unyonyeshaji ghafla, akatufafanulia kuwa kuna tezi za maziwa zinaweza kuvimba kwa sababu mtoto hanyonyi, tukapewa dawa na tukaambiwa turudi tena baada ya kumaliza dawa,
Ziwa likazidi kuvimba, tukaenda hospitali binafsi, wakampima upya, wakakata kinyama kwenye ziwa la mke wangu kwa ajili ya vipimo,
Tukaambiwa turudi baada ya wiki mbili,
Tuliporudi tukaambiwa mke wangu ana saratani ya ziwa stage 2 na inaelekea 3, tukaanza matibabu ya saratani haraka, tuliandikiwa tuende KCMC moshi, tukauguza hapo for almost 2 years, akapata nafuu tukarudi nyumbani,
Baada ya muda ikarudi tena, tukarudi kcmc, akatibiwa hapo kwa miezi nane na akafariki hapo , sijui wa kumlaumu hapo, japo moyo wangu haujawahi kupona kabisa, nadhani sekta ya afya kwa nchi hii ina shida kubwa, nakumbuka doctor aliyetupima kwenye hospitali ya serikali tulimkuta tena kwenye hospitali hiyo ya binafsi na akatuhudumia tena.
PointKuwa na vipimo vizuri au vibaya ni moja. Lingine kubwa zaidi ni uwezo wa kusoma hivyo vipimo. X ray au MRI hio hio akisoma Dr A na akisoma Dr B utapata matibabu tofauti.
Aisee Pole sana,juzi niliwahi kuleta malalamiko kuhusu hospital ya rufaa temeke dogo kafa kizembe kabisa.dep muhimu kama emergency unawaachia interns waongoze unategemea nini?Baada ya mke wangu kujifungua mtoto wa pili ziwa moja likaanza kumuuma anaponyonyesha,
Tukaenda kwenye hospitali moja ya serikali,
Wakampima na kumpa dawa azitumie kwa siku 30 kisha turudi tena
Lakini kutokana na maumivu ilibidi mke wangu asitishe kumnyonyesha mtoto, maana pia lile ziwa lilianza kuvimba,
Tukarudi hospitali na kuwaeleza, tukawaambia pia kuwa ziwa lina uvimbe,
Doctor akamcheki tena, akatuuliza bado unanyonyesha? Tukamwambia hapana,
Akasema hiyo ni hali ya kawaida ikiwa utasitisha unyonyeshaji ghafla, akatufafanulia kuwa kuna tezi za maziwa zinaweza kuvimba kwa sababu mtoto hanyonyi, tukapewa dawa na tukaambiwa turudi tena baada ya kumaliza dawa,
Ziwa likazidi kuvimba, tukaenda hospitali binafsi, wakampima upya, wakakata kinyama kwenye ziwa la mke wangu kwa ajili ya vipimo,
Tukaambiwa turudi baada ya wiki mbili,
Tuliporudi tukaambiwa mke wangu ana saratani ya ziwa stage 2 na inaelekea 3, tukaanza matibabu ya saratani haraka, tuliandikiwa tuende KCMC moshi, tukauguza hapo for almost 2 years, akapata nafuu tukarudi nyumbani,
Baada ya muda ikarudi tena, tukarudi kcmc, akatibiwa hapo kwa miezi nane na akafariki hapo , sijui wa kumlaumu hapo, japo moyo wangu haujawahi kupona kabisa, nadhani sekta ya afya kwa nchi hii ina shida kubwa, nakumbuka doctor aliyetupima kwenye hospitali ya serikali tulimkuta tena kwenye hospitali hiyo ya binafsi na akatuhudumia tena.
MhmSitasahau Mtoto wa Dada yangu alitahiriwa Pumbu badala ya Dudu
Mkuu kuna kitu nyuma ya pazia ukiangalia kwa makini utaona. Umewahi jiuliza masuali haya:-Just imagine, unatoka Tanzania nchi yenye kila aina ya rasilimali unaenda Thailand kufuata tiba
Pole sana MkuuKwa mtu ambaye hajawahi uguliwa na mtu wake ugonjwa seriuos atambishia huyo mwamba hospitali zetu choka mbaya hazina wataalamu wala vifaa.
Juzi nimempoteza baba yangu mzazi hospitali ya rufaa mbeya kimzaa tu tulikuwa tumeagizwa tumtafutie chakula tunarudi mzee wetu hajitambui baadaye amefariki bado nalia nimeumia sana.
Wakuu tutunze afya zetu hospitali zetu ni danganya toto ukienda ukirudi shukuru Mungu
Mzee wangu hakuwa wa kufa kwa ugonjwa ule
RIP my father
Ulisumbuaje hadi wakakutoa?Anachoongea ni kweli...na ni hosp karibu zote TZ mashine used.
Mi yalinishinda...niliingizwa kwenye hyo mashine ya MRI baada ya dk 30 nikaanza kusumbua wakanito.,
mlimsaidiaje mkuu tupate madiniIla inaumiza sana.. Sisi 2024 kama sio kujiongeza tungempoteza ndugu yetu.. Inauma sana.. Kapasuka bandama wao wanasema kateguka nyonga
Daah ebana pole Sana.Baada ya mke wangu kujifungua mtoto wa pili ziwa moja likaanza kumuuma anaponyonyesha,
Tukaenda kwenye hospitali moja ya serikali,
Wakampima na kumpa dawa azitumie kwa siku 30 kisha turudi tena
Lakini kutokana na maumivu ilibidi mke wangu asitishe kumnyonyesha mtoto, maana pia lile ziwa lilianza kuvimba,
Tukarudi hospitali na kuwaeleza, tukawaambia pia kuwa ziwa lina uvimbe,
Doctor akamcheki tena, akatuuliza bado unanyonyesha? Tukamwambia hapana,
Akasema hiyo ni hali ya kawaida ikiwa utasitisha unyonyeshaji ghafla, akatufafanulia kuwa kuna tezi za maziwa zinaweza kuvimba kwa sababu mtoto hanyonyi, tukapewa dawa na tukaambiwa turudi tena baada ya kumaliza dawa,
Ziwa likazidi kuvimba, tukaenda hospitali binafsi, wakampima upya, wakakata kinyama kwenye ziwa la mke wangu kwa ajili ya vipimo,
Tukaambiwa turudi baada ya wiki mbili,
Tuliporudi tukaambiwa mke wangu ana saratani ya ziwa stage 2 na inaelekea 3, tukaanza matibabu ya saratani haraka, tuliandikiwa tuende KCMC moshi, tukauguza hapo for almost 2 years, akapata nafuu tukarudi nyumbani,
Baada ya muda ikarudi tena, tukarudi kcmc, akatibiwa hapo kwa miezi nane na akafariki hapo , sijui wa kumlaumu hapo, japo moyo wangu haujawahi kupona kabisa, nadhani sekta ya afya kwa nchi hii ina shida kubwa, nakumbuka doctor aliyetupima kwenye hospitali ya serikali tulimkuta tena kwenye hospitali hiyo ya binafsi na akatuhudumia tena.
ile kesi ni tofautiππ Hao mabwege sindio waliwahi kupata Kesi ya kumfanyia upasuaji wa kichwa mgonjwa wakati alipaswa kufanyiwa upasuaji wa mguu,
Halafu mgonjwa aliyepaswa kufanyiwa upasuaji wa kichwa wakamfanyia upasuaji wa mguu π
Nakumbuka ilikuwa enzi ya kikwete
Najua but nacho maanisha ni kwamba ndio tabia zaoile kesi ni tofauti