MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Hamia Burundi. PumbavNchini Tanganyika tunafanyiwa mambo ya kipumbavu sana. Watu wengi wanakufa kwa sababu ya matibabu mabovu kwa kutumia mashine zilizokufa na kutupwa huko Ulaya halafu zikaokotwa na kuletwa Tanganyika kwa ajili ya kuwaua raia wasiokuwa na hatia. Inauma na inahudhunisha sana. Hivi ni lini serikali hii ya wakoloni weusi (CCM) itaanza kujali maisha ya raia.
Cc MamaSamia2025 ChoiceVariable Tlaatlaah Ritz Lucas mwashamba Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah vipi hapo chawa mwenzio kaongea uongoo?🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yuko sahihi Hospitali za Umma za Bongo ni shida.
Nina hakika huko India alienda private sio za government
Pili sio rahisi Kwa Viongozi wa Juu kujua Kwa sababu wao hawajui hizo mashine na wanaozipwndekeza na watu wa Afya,probably Huwa wanatenga Bajeti ya Mpya lakini Jamaa wanaleta used.
Uwe na adabu wewe shoga, Tanganyika ni sehemu ya makalio yako.....Kama unadhani hivyo. Mbwa wewe.tanganyika ndio nini na ni kakitu gani hako kwanza gentleman?
Upuuuuuzi mtupuMuwe na shukurani kwa kazi kubwa iliyofanywa na Serikali ya CCM tangia kupata uhuru wa Taifa letu
Headphone zina magnet vipi sasa hapa wakati MRI nayo inatumia nguvu hiyo?.
- Vifaa vya kusikilizia (Headphones): Mara nyingi utapewa headphone ambazo hupunguza kelele na wakati mwingine hukuruhusu kusikiliza muziki au maelekezo ya daktari.
Nyie machawa ndio virusi namba moja.Kwa mujibu wa sheria ya manunuzi ya umma serikali hainunui vitu used. Dudubaya apuuzwe kwa sababu Muhimbili kama hospitali ya serikali haiwezi kuvunja sheria kwa kununua kitu kilichotumika. Kuhusu kuvalishwa headphones tusubiri ufafanuzi wa wataalam.
Tushukuru!? Kwani mnatufanyia hisani?Muwe na shukurani kwa kazi kubwa iliyofanywa na Serikali ya CCM tangia kupata uhuru wa Taifa letu
Utahamia huko wewe na wauaji wenzako pumbavu wahedHamia Burundi. Pumbav
Huyo jamaa ni chizi sana; achana naye mkuu.Tushukuru!? Kwani mnatufanyia hisani?
Ndio maana inatoa majibu ya uwongoHeadphone zina magnet vipi sasa hapa wakati MRI nayo inatumia nguvu hiyo?
Achana nalo hilo chizi mkuu; lisikuumize kichwaUwe na adabu wewe shoga, Tanganyika ni sehemu ya makalio yako.....Kama unadhani hivyo. Mbwa wewe.
Bila shaka wewe ni mgeni nchi hiiKwa mujibu wa sheria ya manunuzi ya umma serikali hainunui vitu used. Dudubaya apuuzwe kwa sababu Muhimbili kama hospitali ya serikali haiwezi kuvunja sheria kwa kununua kitu kilichotumika. Kuhusu kuvalishwa headphones tusubiri ufafanuzi wa wataalam.
Wapi hao mkuu? Polisi? Polisi wanare cruit div IV na 0 tu!Una recruit Watu wa D 3 unategemea nini?
Nimewahi andika Uzi wa kupinga huu ujinga ila wapuuzi wakanishambulia.
Haya ndio matokeo Sasa.
Vipi kuhusu kuvalishwa headphones na kukalishwa kwenye mashine kwa dk 45 wakati mashine za India watu hawavai headphones na wanakaa dk 15 tu? Huoni kuwa MRI za Muhimbili zina kasoro?Kwa mujibu wa sheria ya manunuzi ya umma serikali hainunui vitu used. Dudubaya apuuzwe kwa sababu Muhimbili kama hospitali ya serikali haiwezi kuvunja sheria kwa kununua kitu kilichotumika. Kuhusu kuvalishwa headphones tusubiri ufafanuzi wa wataalam.
Ear protection gear sio headphone. Some kind of earplugs kuziba nasikio sio kusikiliza.Headphone zina magnet vipi sasa hapa wakati MRI nayo inatumia nguvu hiyo?
Ufafanuzi umeshatolewa na MOI.Vipi kuhusu kuvalishwa headphones na kukalishwa kwenye mashine kwa dk 45 wakati mashine za India watu hawavai headphones na wanakaa dk 15 tu? Huoni kuwa MRI za Muhimbili zina kasoro?
Hapana. Bila shaka una tatizo la akili.Bila shaka wewe ni mgeni nchi hii
Unauamini ufafanuzi wa MOI?Ufafanuzi umeshatolewa na MOI.