Naunga mkono hoja .1. Ana hoja za msingi za kuikomboa Nchi yetu kutoka mikononi mwa MAJANGILI.
2. Anatoa elimu ya kuwafumbua na kuwaamsha watu kutoka usingizini.
3. Anakerwa na dhuluma wanazofanyiwa Watanzania na serikali.
4. Bila shaka anaweza kututoa hapa tulipo na kutupeleka Kaanani.
5. Wachungaji, Mapadre, Maaskofu, Masheikh, Maimamu, Watumishi wote wa Umma na Watanzania wote wa Dini, kabila na vyama vyote, tumuunge mkono mtu huyu.
NB:- Viongozi wetu wa Dini waache tabia ya kufichama kwenye pazia la kulinda amani na kuacha Nchi inateketea wao wamekaa kimya.
Nawasilisha.
Ahsante, Tumsifu Yesu Kristu.Dominica njema 😄
Shetani jpm asihusishwe wakati ndiye mhusika mkuu?Ila asithubutu kumhusisha JPM na yeye kupigwa risasi mana wananchi watamcheka na 2025 wananchi watamcheka kwenye sanduku la kura
Sanduku lipi la kura, hilo lililonajisiwa wakati wa huyo dhalimu magu?Ila asithubutu kumhusisha JPM na yeye kupigwa risasi mana wananchi watamcheka na 2025 wananchi watamcheka kwenye sanduku la kura
Hata mimi siungi mkono tabia ya kusema vibaya JPM.Ila asithubutu kumhusisha JPM na yeye kupigwa risasi mana wananchi watamcheka na 2025 wananchi watamcheka kwenye sanduku la kura
Mimi simuungi mkono1. Ana hoja za msingi za kuikomboa Nchi yetu kutoka mikononi mwa MAJANGILI.
2. Anatoa elimu ya kuwafumbua na kuwaamsha watu kutoka usingizini.
3. Anakerwa na dhuluma wanazofanyiwa Watanzania na serikali.
4. Bila shaka anaweza kututoa hapa tulipo na kutupeleka Kaanani.
5. Wachungaji, Mapadre, Maaskofu, Masheikh, Maimamu, Watumishi wote wa Umma na Watanzania wote wa Dini, kabila na vyama vyote, tumuunge mkono mtu huyu.
NB:- Viongozi wetu wa Dini waache tabia ya kufichama kwenye pazia la kulinda amani na kuacha Nchi inateketea wao wamekaa kimya.
Nawasilisha.
Kwan kabla ya JPM mliwahi kushinda?Sanduku lipi la kura, hilo lililonajisiwa wakati wa huyo dhalimu magu?
Nendeni mahakamaniShetani jpm asihusishwe wakati ndiye mhusika mkuu?
Hatuna tatizo la kushindwa, tuna tatizo na ushindi usio wa halali. Kama muda wote mazingira ya ushindani sio sawa, unapata wapi nguvu ya kuongelea mshindi?Kwan kabla ya JPM mliwahi kushinda?
Sasa uchaguzi gn mliwahi kukubali kushindwaHatuna tatizo la kushindwa, tuna tatizo na ushindi usio wa halali. Kama muda wote mazingira ya ushindani sio sawa, unapata wapi nguvu ya kuongelea mshindi?
Uchaguzi tuliogoma tuliweka wazi na mapungufu yake. Ama unadhani chaguzi zote tulikataa? Hizo chaguzi zote hazikuwa zinafanana, bali Kila mmoja ulikuwa na mapungufu yake. Na ndio maana kilio Cha tume huru ya uchaguzi hakikuwahi kukoma.Sasa uchaguzi gn mliwahi kukubali kushindwa
Mahakamani kufanya nini wakati huko alipo cha moto anaoupata?Nendeni mahakamani
Bc tulieni acheni kumlalamika kila wakatiMahakamani kufanya nini wakati huko alipo cha moto anaoupata?
Hatulamiki bali tunaweka rekodi sawa za uovu wake.Bc tulieni acheni kumlalamika kila wakati