Pre GE2025 Kwa maoni yako, nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025?
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1. Ana hoja za msingi za kuikomboa Nchi yetu kutoka mikononi mwa MAJANGILI.

2. Anatoa elimu ya kuwafumbua na kuwaamsha watu kutoka usingizini.

3. Anakerwa na dhuluma wanazofanyiwa Watanzania na serikali.

4. Bila shaka anaweza kututoa hapa tulipo na kutupeleka Kaanani.

5. Wachungaji, Mapadre, Maaskofu, Masheikh, Maimamu, Watumishi wote wa Umma na Watanzania wote wa Dini, kabila na vyama vyote, tumuunge mkono mtu huyu.
NB:- Viongozi wetu wa Dini waache tabia ya kufichama kwenye pazia la kulinda amani na kuacha Nchi inateketea wao wamekaa kimya.
Nawasilisha.
Naunga mkono hoja .
 
Ila asithubutu kumhusisha JPM na yeye kupigwa risasi mana wananchi watamcheka na 2025 wananchi watamcheka kwenye sanduku la kura
 
1. Ana hoja za msingi za kuikomboa Nchi yetu kutoka mikononi mwa MAJANGILI.

2. Anatoa elimu ya kuwafumbua na kuwaamsha watu kutoka usingizini.

3. Anakerwa na dhuluma wanazofanyiwa Watanzania na serikali.

4. Bila shaka anaweza kututoa hapa tulipo na kutupeleka Kaanani.

5. Wachungaji, Mapadre, Maaskofu, Masheikh, Maimamu, Watumishi wote wa Umma na Watanzania wote wa Dini, kabila na vyama vyote, tumuunge mkono mtu huyu.
NB:- Viongozi wetu wa Dini waache tabia ya kufichama kwenye pazia la kulinda amani na kuacha Nchi inateketea wao wamekaa kimya.
Nawasilisha.
Mimi simuungi mkono
 
Kama kweli ni mzalendo kwanini alimpiga vita Magufuli.

Au anafikiri siasa ni kutafuta sifa binafsi pekee.

Haka kajamaa kanapenda sifa za kijinga.

Hatuna muda na huo ujinga wake.
 
Hatuna tatizo la kushindwa, tuna tatizo na ushindi usio wa halali. Kama muda wote mazingira ya ushindani sio sawa, unapata wapi nguvu ya kuongelea mshindi?
Sasa uchaguzi gn mliwahi kukubali kushindwa
 
Back
Top Bottom