1. Ana hoja za msingi za kuikomboa Nchi yetu kutoka mikononi mwa MAJANGILI.
2. Anatoa elimu ya kuwafumbua na kuwaamsha watu kutoka usingizini.
3. Anakerwa na dhuluma wanazofanyiwa Watanzania na serikali.
4. Bila shaka anaweza kututoa hapa tulipo na kutupeleka Kaanani.
5. Wachungaji, Mapadre, Maaskofu, Masheikh, Maimamu, Watumishi wote wa Umma na Watanzania wote wa Dini, kabila na vyama vyote, tumuunge mkono mtu huyu.
NB:- Viongozi wetu wa Dini waache tabia ya kufichama kwenye pazia la kulinda amani na kuacha Nchi inateketea wao wamekaa kimya.
Nawasilisha.