Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nahodha wa jahazi anayejua pepo zivumavyo na dalili za dhoruba za hatari lkn abiria walioko ndani ya jahazi waliowengi hawana na hawawezi kumtambua kwakuwa ni vipofu na na viziwi lkn wachache wanajitambua ila ndio walioko ndani ya engine room na kamwe hawataki kumsikiliza nahodha kwakuwa wananufaika na ugumu wa safari kwa kuuza mizigo njiani kimagendo.
 
Kama kweli ni mzalendo kwanini alimpiga vita Magufuli.

Au anafikiri siasa ni kutafuta sifa binafsi pekee.

Haka kajamaa kanapenda sifa za kijinga.

Hatuna muda na huo ujinga wake.
Magufuli hakuwa mzalendo Bali mlevi wa madaraka.
 
Mwigulu, marope waziri mkuu
 
Mheshimiwa Dr Makamba anategemea kutangaza Nia yake Safi ya kuwatumikia Wananchi 2025-2030. Tusubiri muda na venue. Asanteni
 
Tuongee ukweli nani unamuona anaweza kutufaa kuwa Rais wetu, akazilinda rasilimali zetu, akatupa maisha bora,akawabana majizi mafisadi akaifanya Tanzania sehemu salama kwa kuishi kwa kila mtu?
 
Kwa uchaguzi gani?
 
Hizo sifa zinaangukia kwa mtanganyika Tundu Lissu

Hivyo kura yangu nitampa mtanganyika mzalendo Bw. Tundu Lissu
 
Tuongee ukweli nani unamuona anaweza kutufaa kuwa Rais wetu, akazilinda rasilimali zetu, akatupa maisha bora,akawabana majizi mafisadi akaifanya Tanzania sehemu salama kwa kuishi kwa kila mtu?
Unatuuliza sisi kama wapiga kura wa kawaida au kama Tume?
 
Tuongee ukweli nani unamuona anaweza kutufaa kuwa Rais wetu, akazilinda rasilimali zetu, akatupa maisha bora,akawabana majizi mafisadi akaifanya Tanzania sehemu salama kwa kuishi kwa kila mtu?
Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…