Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Tutawapa Kura wanaotetea Haki na Rasilimali za Tanzania tu.Tuongee ukweli nani unamuona anaweza kutufaa kuwa Rais wetu, akazilinda rasilimali zetu, akatupa maisha bora,akawabana majizi mafisadi akaifanya Tanzania sehemu salama kwa kuishi kwa kila mtu?
Ccm na Andazi weww utachagua nini?Kwa uchaguzi gani?
Wivu tuDr feki aka wamchongo
Chawa wewe😂😂😂Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia, Dkt Samia,
Wa hivyo, LISU pekee.Tuongee ukweli nani unamuona anaweza kutufaa kuwa Rais wetu, akazilinda rasilimali zetu, akatupa maisha bora,akawabana majizi mafisadi akaifanya Tanzania sehemu salama kwa kuishi kwa kila mtu?
Nje ya hapa tutachagua majizi tuWa hivyo, LISU pekee.
Tulikubaliana wapi?Vipi tena? Si tulikubaliana ni samia hadi 2030? Au ndio ile kauli ya msoga et al inatimia!
Nikipiga kura yangu natangaza?Mara ya mwisho mlisema tukipiga kura tuondoke turudi nyumbani kuchochea maharage.Sasa mmeita waandishi wa habari watuulize?Nani kwako ni rais wa Jamuhuri wa muungano wa Tanzania endapo utaenda kupiga kura ili tumpate kiongozi wa Taifa.
Umeambiwa upige kura.Wewe unaanza kampeni mbele ya kituturi?CCM mpoje ninyi lakini?Rais ni Samia