Pre GE2025 Kwa maoni yako, nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025?
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Binafsi Majaliwa sina shaka naye, lakini pia nilichojifunza kwa haraka haraka ni kwamba, watu kutoka Kanda ya ziwa wana uzalendo, majasiri na wachapakazi wazuri sana.
 
Tuongee ukweli nani unamuona anaweza kutufaa kuwa Rais wetu, akazilinda rasilimali zetu, akatupa maisha bora,akawabana majizi mafisadi akaifanya Tanzania sehemu salama kwa kuishi kwa kila mtu?
Wa hivyo, LISU pekee.
 
Nani kwako ni rais wa Jamuhuri wa muungano wa Tanzania endapo utaenda kupiga kura ili tumpate kiongozi wa Taifa.
 
Nani kwako ni rais wa Jamuhuri wa muungano wa Tanzania endapo utaenda kupiga kura ili tumpate kiongozi wa Taifa.
Nikipiga kura yangu natangaza?Mara ya mwisho mlisema tukipiga kura tuondoke turudi nyumbani kuchochea maharage.Sasa mmeita waandishi wa habari watuulize?
 
Back
Top Bottom