Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Tutawapa Kura wanaotetea Haki na Rasilimali za Tanzania tu.Tuongee ukweli nani unamuona anaweza kutufaa kuwa Rais wetu, akazilinda rasilimali zetu, akatupa maisha bora,akawabana majizi mafisadi akaifanya Tanzania sehemu salama kwa kuishi kwa kila mtu?