Kwa maoni yangu, Arusha inaongoza kuwa na warembo Kanda ya Kaskazini

Vichocheo vya mwili vikishuka kwa wakati muafaka, Mathalani kutokana na Majukumu mazito ya kifamilia, stress za madeni, kuchapiwa n.k. hali hiyo itapotea na utaona kawaida tu...

Ujana ni maji ya moto, fainali uzeeni. Tosheka na uwe na kiasi
 
Bila picha huu Uzi ni batili..🤣🤣😂😂
 
Nimeishi mikoa tofauti, nakubaliana nawewe kwa 100%
 
Wanawake wengi huku Arusha wana makalio makubwa yenye shepu nzuri balaaa, miguu ya bia ilionona daah, huwa saa nyingine nakutana na pisi, naishia tu kuguna kwa tamaa!
Gusa uone utarudi kwako na kanga ya kuazimwa
 
Wanawake wa Arusha mbona wana miguu na kalio? Acha wa Klm
Ukanda huo Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Singida wana rangi inayowatia kiwewe wanaume wengi washamba washamba, sura nzuri zipo ila miguu na kalio hawashtui kiiivyo,, labda mang'ati niliona ndo wana miguu ya bia ambao ni wachache sana
 
Mkuu ilo jina tu lazima atoke nduki Mr.sulemani ... Hasa hasa akikumbuka wimbo wa mboso khan sulemani ....selemani ...sele[emoji4][emoji4][emoji3526][emoji3526]

Si angesema wala hata nisingewekeza vile na kumwamini 100%. alichonilipa Mungu anajua na uwa namuomba sana Mungu aniepushe na kisasi maana kimetawala kwenye akili na moyo
 

Hii inatokana na nini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…