Kwa maoni yangu, Arusha inaongoza kuwa na warembo Kanda ya Kaskazini

Kuna dada Mrembo nilikutana nae na kila tukikutana alikua hacheki nyuma ana bonge la chura, sasa siku hio sijui alifurahi nini si akacheka ooh kidogo nikimbie meno yana kutu alafu ilikua usiku akashtuka ana meno yenye magadi alipoona nimeshtuka akafunga mdomo haraka sana alafu akapita km upepo nikabaki na bumbuwazi nimeona nini yaan mawazo yakahama kwenye shepu yakahamia kwenye meno, tangu siku hio akiniona anapita amefumba mdomo hacheki tena
Mna dhambi 😂😂😂😂
 
siku hizi meno yanasafishwa
 
Umenichekesha sana mzeee
 
Hizi ndo pisi za ara yani zisicheke au kuvaa umini utanyong'onyea
 
Ni kweli.

1. Wasichana wenye Rangi nzuri. Arusha inaongozà✔️
2. Wenye kimo cha kati kwenda urefu. Arusha inaongozà ✔️
3. Wenye Sura Nzuri. Arusha inaongozà ✔️
4. Wadada wenye Shepu nzuri. Arusha inaongozà✔️ sio mtu anatako kubwa mpaka anashindwa kutembea.

5. Wadada wenye kujiamini. Arusha inaongozà ✔️

Mikoa ambayo niliwahi kutembea ikiwemo Dsm hakuna anayetoboa kwa Wadada wa Arusha.
Umekosea kutokuweka kigezo kimoja tu, AKILI!
Ningekupa 100% maana umesema yote!
 
Kuna siku nilikatiza hapo walikuwa wananishangaa miguu na mie sio kihivyo, kwa upande wa miguu katuuza mi sijakubali kuuzwa😂😂, ukanda huo ni rangi hasa kwa wapenda rangi ya chungwa vilivyobaki ni wastani kama maeneo mengine tu
Wewe sio mwanaume labda ndo maana huwezi kunielewa, wadada wengi wa arusha wanajambia mbali, yaani hayo makalio Yao, najizuiaga tu 😋 Kapeace
 
Back
Top Bottom