Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Muda wa kukupesa macho na kumung'unya maneno ushaisha tangu MO29.
Kwa video niliyoona niseme wazi huenda haya mauaji hayajafanywa na Police tu bali hata jeshi limehusika
Kama jeshi halijahusika kabisa na mauaji kwanini police wafanye hivyo ili hali jeshi lilikuwa mtaani siku hiyo?
Tulijenga uaminifu mkubwa sana kwa jeshi lakini kwa mauaji haya ninyi sio Jwtz tena bali mpo kwa ajiri ya kulinda watawala.
Najiuliza maswali sipati majibu au huenda mliamua kuua raia kama kufidia vile Tz hakuna vita unaanza kazi hadi unastaafu hujawahi ua hata panya basi kwa kuona ule mwanya ndo mkafanya mashindano ya kulenga shabaha ya kuua wananchi wenu?
SIJALALA KABISA