DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Ila hata kama degree yako uliipata TEKU basi ficha ujinga wako watu wasijue... we mbw..a umesema jeshi la Tanzania ni namba sita duniani au nimekusoma vibaya?Ninachojua Mimi ni kuwa jeshi la Tanzania ni jeshi bora ambalo linashika namba sita duniani.Yaani kuanzia vifaa za kisasa kila nyanja.Duniani Kuna nchi 195 yaani ukiondoa tu marekani,ujerumani ufaransa,urusi na china wengine wote tumewazidi.hii alisema msemaji waowa jeshi.Tuwape pongezi Kwa kutuheshimisha duniani sisi kama watanzania