Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Watu wengi walikuwa wanashobokea jeshi tukawaambia hapo hakuna jeshi.Muda wa kukupesa macho na kumung'unya maneno ushaisha tangu MO29.
Kwa video niliyoona niseme wazi huenda haya mauaji hayajafanywa na Police tu bali hata jeshi limehusika
Kama jeshi halijahusika kabisa na mauaji kwanini police wafanye hivyo ili hali jeshi lilikuwa mtaani siku hiyo?
Tulijenga uaminifu mkubwa sana kwa jeshi lakini kwa mauaji haya ninyi sio Jwtz tena bali mpo kwa ajiri ya kulinda watawala.
Najiuliza maswali sipati majibu au huenda mliamua kuua raia kama kufidia vile Tz hakuna vita unaanza kazi hadi unastaafu hujawahi ua hata panya basi kwa kuona ule mwanya ndo mkafanya mashindano ya kulenga shabaha ya kuua wananchi wenu?
SIJALALA KABISA
Hivi nyinyi mliwahi kumpenda nani katika awamu zote?..chuki zinakula ubongo na moyo wako na kukaribisha mental health problems..ila upendo unakaribisha amani na afya ya akili na moyo pia ..kazi ni kwako kichaguaNje kidogo ya mada. Hivi mzee Warioba kaonekanana popote kule baada ya uchaguzi. Natamani sana kusikia sauti yake juu ya uporaji wa kura na mauaji haya ya halaiki.
Kuhusu jeshi huenda walikuwa wanatupa matumaini ili baadaye waungane na polisi kutuangamiza.
Ila mmejidhalilisha sana kuruhusu kiongozi muuaji wa kiwango hiki aendelee kuongoza nchi. Ogopa sana kuongozwa na jitu au majitu yanayojua kabisa kuwa hamuyapendi.
Rais batili, bunge batili na kila kitakachotokana na hao watu kitakuwa batili.
Jeshi mnaamini kabisa na nyinyi nchi itaenda kwa uongozi huu wa kujipachika. Mnaamini rasilimali za taifa zitalindwa kwa lipi yaani.
Naamini rasilimali za Tanganyika zinaenda kuinufaisha Zanzibar kuliko wakati mwingine wowote
Hakika mkuu. Inahudhuni na kutia hasira mnoNimeacha kuangalia video hii ya mwananyamala ni ya mwisho
Kwa ajiri ya afya yangu ya Akili.
Kuhusu mzee warioba yupo kimya sijui kulikoni.Nje kidogo ya mada. Hivi mzee Warioba kaonekanana popote kule baada ya uchaguzi. Natamani sana kusikia sauti yake juu ya uporaji wa kura na mauaji haya ya halaiki.
Kuhusu jeshi huenda walikuwa wanatupa matumaini ili baadaye waungane na polisi kutuangamiza.
Ila mmejidhalilisha sana kuruhusu kiongozi muuaji wa kiwango hiki aendelee kuongoza nchi. Ogopa sana kuongozwa na jitu au majitu yanayojua kabisa kuwa hamuyapendi.
Rais batili, bunge batili na kila kitakachotokana na hao watu kitakuwa batili.
Jeshi mnaamini kabisa na nyinyi nchi itaenda kwa uongozi huu wa kujipachika. Mnaamini rasilimali za taifa zitalindwa kwa lipi yaani.
Naamini rasilimali za Tanganyika zinaenda kuinufaisha Zanzibar kuliko wakati mwingine wowote
Ukweli mimi sikuwa na shaka na hili jeshi namna tunavyoishu nao mtaani tunapiga story kama wana kumbe ni mashetani ...Watu wengi walikuwa wanashobokea jeshi tukawaambia hapo hakuna jeshi.
Wakawa wanabisha sana kwa mahaba.
Sasa ukweli tumeujua.
Nyani Ngabu
Inaumiza na kuuzi sana. Siyo jeshi la wananchi tena hiliMimi nilikata tamaa baada ya Kapt Tesha kutoa lile tamko halafu wao wakaja juu
Mkuu wewe unaona no sawa haya mauaji?Hivi nyinyi mliwahi kumpenda nani katika awamu zote?..chuki zinakula ubongo na moyo wako na kukaribisha mental health problems..ila upendo unakaribisha amani na afya ya akili na moyo pia ..kazi ni kwako kichagua
Tatizo mfumo wa jeshi ni mfumo wa kufuata amri kutoka juu.Ukweli mimi sikuwa na shaka na hili jeshi namna tunavyoishu nao mtaani tunapiga story kama wana kumbe ni mashetani ...
Si mtu mmoja mmoja si taasisi hakuna kilicho salama chini ya CCM.Muda wa kukupesa macho na kumung'unya maneno ushaisha tangu MO29.
Kwa video niliyoona niseme wazi huenda haya mauaji hayajafanywa na Police tu bali hata jeshi limehusika
Kama jeshi halijahusika kabisa na mauaji kwanini police wafanye hivyo ili hali jeshi lilikuwa mtaani siku hiyo?
Tulijenga uaminifu mkubwa sana kwa jeshi lakini kwa mauaji haya ninyi sio Jwtz tena bali mpo kwa ajiri ya kulinda watawala.
Najiuliza maswali sipati majibu au huenda mliamua kuua raia kama kufidia vile Tz hakuna vita unaanza kazi hadi unastaafu hujawahi ua hata panya basi kwa kuona ule mwanya ndo mkafanya mashindano ya kulenga shabaha ya kuua wananchi wenu?
SIJALALA KABISA
Kupinga uchaguzi bandiaKwani yale ni maandamano au uhalifu na uporaji ulikuwa, na kama maandamano lengo liikuwa ni nini?