Kwa mara ya kwanza katika historia, Viongozi wakuu wa Ulaya, Canada na Australia wakutana kujadili namna ya kuisaidia Ukraine bila kumwalika Marekani

Kwa mara ya kwanza katika historia, Viongozi wakuu wa Ulaya, Canada na Australia wakutana kujadili namna ya kuisaidia Ukraine bila kumwalika Marekani

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani.
Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia ya kwanza kabisa kuiambia Dunia kuwa Ulaya unarudi kwenye himaya yake.
Viongozi waliohudhuria ni Hawa wafuatao
1. Waziri mkuu wa Uingereza Keir Starmer
2. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy
3. Rais wa Commission ya ulaya Ursula von der Leyen
4. Rais wa Baraza la ulaya Antonio Costa
5. Katibu mkuu wa NATOMark Rutte
6. Rais wa France Emmanuel Macron
7. Rais wa Finland Alexander Stubb
8. Waziri mkuu wa Italy Giorgia Meloni
9. Waziri mkuu wa Poland Donald Tusk
10. Waziri mkuu wa Pedro Sánchez
11. waziri mkuu wa Denmark Mette Frederiksen
12. Waziri mkuu wa Canada Justin Trudeau
13. Rais wa Romania Ilie Bolojan
14. Waziri mkuu wa Netherlands Dick Schoof
15. Waziri mkuu wa Sweden Ulf Kristersson
16. Chancellor wa Ujerumani Olaf Scholz
17. Waziri mkuu wa Czechia Petr Fiala
18. Waziri mkuu wa Norway Jonas Gahr Store
19. Waziri wa mambo ya nje wa Turkey Hakan Fidan
 
Attachments

  • 20250302_185514.jpg
    20250302_185514.jpg
    154 KB · Views: 2
Mabomu yangekuwa yanatua moja kwa moja nchini mwao wangetafuta njia sahihi ya kumaliza vita na siyo kuendeleza mapambano na mtu ambaye kabisa wanajua hawawezi wakamshinda,sanasana watatupeleka kwenye vita kuu ya tatu ya dunia.
 
Moderator kichwa Cha habari kisomeke kujadili. Paw

Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani.
Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia ya kwanza kabisa kuiambia Dunia kuwa Ulaya unarudi kwenye himaya yake.

🇬🇧 Starmer
🇺🇦 Zelensky
🇫🇷 Macron
🇵🇱 Tusk
🇩🇪 Scholz
🇮🇹 Meloni
🇨🇦 Trudeau
🇪🇸 Sánchez
🇩🇰 Frederiksen
🇳🇴 Støre
🇫🇮 Stubb
🇸🇪 Kristersson
🇳🇱 Schoof
🇨🇿 Fiala
🇷🇴 Bolojan
🇹🇷 Fidan
🇪🇺 VdL
Ngoja tuone kama wataweza kujilinda wenyewe bila mwavuli wa Marekani.

T14 Armata
 
Yep! 👏🏾 Kumekucha. Canada will replace US (kwa dream lakini nadhani niliota itakuwa hivyo)
 
Ngoja tuone kama wataweza kujilinda wenyewe bila mwavuli wa Marekani.

T14 Armata
Ni jukumu lq Ulaya kujilinda wenyewe.

Vilevile sisi Waafrika tuache upumbavu na kubweteka. Matatizo yetu ya kiusalama tunatakiwa kuyakabili wenyewe. Haiwezekani kuna nchi zina vita miaka nenda rudi sisi tumebweteka tu hatusaidiani.
 
Moderator kichwa Cha habari kisomeke kujadili. Paw

Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani.
Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia ya kwanza kabisa kuiambia Dunia kuwa Ulaya unarudi kwenye himaya yake.

🇬🇧 Starmer
🇺🇦 Zelensky
🇫🇷 Macron
🇵🇱 Tusk
🇩🇪 Scholz
🇮🇹 Meloni
🇨🇦 Trudeau
🇪🇸 Sánchez
🇩🇰 Frederiksen
🇳🇴 Støre
🇫🇮 Stubb
🇸🇪 Kristersson
🇳🇱 Schoof
🇨🇿 Fiala
🇷🇴 Bolojan
🇹🇷 Fidan
🇪🇺 VdL

Trump amenunuliwa na Dikteta Putin
 
Ni jukumu lq Ulaya kujilinda wenyewe.

Vilevile sisi Waafrika tuache upumbavu na kubweteka. Matatizo yetu ya kiusalama tunatakiwa kuyakabili wenyewe. Haiwezekani kuna nchi zina vita miaka nenda rudi sisi tumebweteka tu hatusaidiani.
Ni jukumu lq Ulaya kujilinda wenyewe.

Vilevile sisi Waafrika tuache upumbavu na kubweteka. Matatizo yetu ya kiusalama tunatakiwa kuyakabili wenyewe. Haiwezekani kuna nchi zina vita miaka nenda rudi sisi tumebweteka tu hatusaidiani.
Hapo Drc ni aibu sana kwa EAC na SADC, tena zaidi Kuna nchi mwanachama inashutumiwa mpaka na UN kuwa nyuma ya machafuko ila mpaka leo hakuna wa kuikemea.
 
1: vita ni ya democrat na yeye aliahidi kuiondoa haraka
2: ulaya wanataka malighafi za Russia and Ukraine kitu ambacho Trump alitaka awazidi wote bila EU wkt nao wametoa mali zao.
3:Raisi wa Ukraine anataka majeshi yawepo kwakua anajua Russia anaweza vamia muda wwt na kummaliza.
4:EU and US wote jicho Lao ni malighafi zilizopo kule zile mali watu wapotayari kuua ilimradi wazipate.
 
Marekani inapoteza taratibu ushawishi wa kimataifa. Na ndio itakua the great loser Kwa sababu ana maadui wengi sana ambao wote aliwapata Kwa jina la kutetea ulaya.
Dunia Iko katika hatari kubwa sana. Africa wamehamia China, wengine wanashawishiwa na Urusi,Asia hawamtaki US kabisa, majirani wa Marekani hawamtaki. Ulaya nao Kwa mbali wameanza kujitambua. Far East wameanza kuitafuta amani Kwa njia za kidiplomasia. Trump na Vence wajiandae kisaikolojia
 
Back
Top Bottom