US kujitoa kweny hii vita , kunaenda mtoa kwenye ushawishi wake barani ulaya , wazungu sio wehu kama ww , hapo wanamtia presha ajue wa kuongea nae ni Ulaya na sio Marekanj , maana hiyo ni vita ya Ulaya , ingekuwa ni vita ya Afrika wazungu wala wasingejisumbua kuendelea kutuma pesa , wazungu walishapitia madhira ya viongoz kama Putin , kumbuka Napoleon , Hitler kisha Stalin wa Urusi , wote hawa walijitanua kila walipoachiwa kuteka sehem moja waliitaka na sehem nyingine pia , So wanajuwa Urusi alipoteka Crimea aliachwa kisha akaona inaezekana kuteka Ukraine nzima. kesho angeamia Poland au Finland au Georgia ambapo pia alipora eneo mwaka 2008 ,Ulaya hawatakubali mpk Putin asalim amri kwa kuweka silaha chini la sivyo wazungu hawatokubali Atokee Napoleon mwingine au Hitler mwingine anaekuja kuvuruga balance of power ya Ulaya
KWENYE VITA SIO LAZIMA KUSHINDA , MUDA MWINGINE KUMCHOSHA ADUI KUNAMKIMBUSHA KUWA VITA NI GHARAMA NA KUMFANYA ASIPENDE VAMIA WADHAIFU
ILA HUKU MAZIWA MAKUU BWANA TALK ANAACHIWA ANAELEKEA KINSHASA , KESHO ATATAMANI NCHI NYINGINE KWA HOJA NYINGINE MAANA WATU WAKE WAPO KOTE MAZIWA MAKUU