Kwa mara ya kwanza katika historia, Viongozi wakuu wa Ulaya, Canada na Australia wakutana kujadili namna ya kuisaidia Ukraine bila kumwalika Marekani

Kwa mara ya kwanza katika historia, Viongozi wakuu wa Ulaya, Canada na Australia wakutana kujadili namna ya kuisaidia Ukraine bila kumwalika Marekani

Moderator kichwa Cha habari kisomeke kujadili. Paw

Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani.
Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia ya kwanza kabisa kuiambia Dunia kuwa Ulaya unarudi kwenye himaya yake.
Viongozi waliohidhuria ni Hawa wafuatao
1. Waziri mkuu wa Uingereza Keir Starmer
2. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy
3. Rais wa Commission ya ulaya Ursula von der Leyen
4. Rais wa Baraza la ulaya Antonio Costa
5. Karibu mkuu wa NATOMark Rutte
6. Rais wa France Emmanuel Macron
7. Rais wa Finland Alexander Stubb
8. Waziri mkuu wa Italy Giorgia Meloni
9. Waziri mkuu wa Poland Donald Tusk
10. Waziri mkuu wa Pedro Sánchez
11. waziri mkuu wa Denmark Mette Frederiksen
12. Waziri mkuu wa Canada Justin Trudeau
13. Rais wa Romania Ilie Bolojan
14. Waziri mkuu wa Netherlands Dick Schoof
15. Waziri mkuu wa Sweden Ulf Kristersson
16. Chancellor wa Ujerumani Olaf Scholz
17. Waziri mkuu wa Czechia Petr Fiala
18. Waziri mkuu wa Norway Jonas Gahr Store
19. Waziri wa mambo ya nje wa Turkey Hakan Fidan
Trump akikubal hawa jamaa wasimame tena , basi tumekwisha , Ulaya ni watu wabinifu na mazingira yanawaforce kutafuta maliasili nje ya ulaya
 
1: vita ni ya democrat na yeye aliahidi kuiondoa haraka
2: ulaya wanataka malighafi za Russia and Ukraine kitu ambacho Trump alitaka awazidi wote bila EU wkt nao wametoa mali zao.
3:Raisi wa Ukraine anataka majeshi yawepo kwakua anajua Russia anaweza vamia muda wwt na kummaliza.
4:EU and US wote jicho Lao ni malighafi zilizopo kule zime mali watu wapotayari kuua ilimradi wazipate.
kwahiyo Ulaya walishawishi Urusi kupora Crimea , kisha kufadhiri uasi ndanj ya Ukraine , kisha kuivamia Ukraine , kuna mambo hutakiw kutumia akili za kiccmu

LEO MNAANGALUA DRC INAANGUKA ILA KESHK NI TZ INAFUATIA

ULAYA HAWASUBIRI URUSI AFIKE CHUMBANI KABISA , WANAMKABIA HAPO HAPO UKRAINE , SIKU URUSI AKITOKA NA KUIACHA UKRAINE BAS VITA ITAISHA SIKU HIYO HIYO , KWA UKUBWA WA ARDHI YA URUSI , NI AIBU KUGOMBANIA KANCHI KAMA UKRAINE

WEWE ENDELEA KUISUBIR M23 WENZIO HAWAMSUBIR ADUI , WATUTSI WALIANZA KUITEKA UGANDA KISHA RWANDA ILA BURUNDI WALIFERI , WAKAFOCUS NA DRC MUDA SI MREFU WANAITEKA KISHA BURUNDI ITAKUWA MSELELEKO , BY 2035-40 , WATUTSI WATAKUWA WANAITAFUTA DAR KWA HOJA NYINGINE KABISA MAANA WANAJUA KUTUNGA VISA , MARA UDIKTETA , MATA MAUAJI YA KIMBARI MARA SERIKALI KUWATENGA KANA KWAMBA JAMII ZINGINE ZA DRC ZINAISH MAISHA YA KIFAHARI
 
Ikifuata TZ wewe binafsi unapata hasara gani ? Au wewe ni chawa wa ccm ?
 
EU kimewaramba safari hii walikuwa vimberembere sana kupeleka majeshi kumsaidia bwana wao marekani kipindi marekani anawaonea wanyonge kama libya e.t.c sasa kimewaramba na wao bwana wao kawageuka, what goes around comes around
 
Mabomu yangekuwa yanatua moja kwa moja nchini mwao wangetafuta njia sahihi ya kumaliza vita na siyo kuendeleza mapambano na mtu ambaye kabisa wanajua hawawezi wakamshinda,sanasana watatupeleka kwenye vita kuu ya tatu ya dunia.
NATO usiichezee. Kukaa kwao kimya sio wajinga wala dhaifu.
 
Sasa hiyo vita ya tatu ya Dunia ya Nini wakati Huyo Urusi ungesema hawezi kushindwa. Aimalize yeye kama anamaamuzi ya vita.
Maafa anayoyafanya Israel kule Palestine, Russia anaweza fanya zaidi ya Israel pale Ukraine, Nato waongeze dozi waone isipowapalia wenyewe
 
Mabomu yangekuwa yanatua moja kwa moja nchini mwao wangetafuta njia sahihi ya kumaliza vita na siyo kuendeleza mapambano na mtu ambaye kabisa wanajua hawawezi wakamshinda,sanasana watatupeleka kwenye vita kuu ya tatu ya dunia.
hamna vita kuu ya 3,4,5,6,............ni intimidations za wahuniwa white house ili wapore rasilimali za ukraine
 
Back
Top Bottom