Kwa mara ya kwanza katika historia, Viongozi wakuu wa Ulaya, Canada na Australia wakutana kujadili namna ya kuisaidia Ukraine bila kumwalika Marekani

Mabomu yangekuwa yanatua moja kwa moja nchini mwao wangetafuta njia sahihi ya kumaliza vita na siyo kuendeleza mapambano na mtu ambaye kabisa wanajua hawawezi wakamshinda,sanasana watatupeleka kwenye vita kuu ya tatu ya dunia.
Sana yaani NATO imejaa mashoga wenye maamuzi ya kikugongwa gongwa wanaume. Menyewe USA kawadanganya na wamebaki na uongo wao 😂 na hawataki kutambua kuwa vita ile haina maslahi. Ngoja tuone itakuwaje ila mi naona NATO imejaa wajinga ndiyo wanaotunyonya na huku Africa
 
Trump anajifanya yeye ni tajiri, huyu jamaa huna muda hana akili sawa.
PUtin kafurahi sana anajua wiki moja ijayo kama Ulaya ikigoma basi Ukraine inakuwa jimbo lake.
 
Duuhhh coment yako aibu naona mimi, International politics huzijui bora ubakie kuwa msomaji tu
 
Watahangaika lakini hawawezi kufanya chochote bila ya marekani
 
Asilimia kama 60 ya waliotajwa hapo wanategemea gesi kutoka Russia..... If not mistaken...
 
Nchi yenye wanajeshi 35,000 na budget ya $154 million waafrika wote wanashindwa hata kukakemea
Angalieni wazungu wamekataa kuburuzwa na Taifa kubwa
Na kuna viongozi wiki iliyopita walidiriki na kusema ni mda sasa wa kuomba Uhuru wetu kutoka kwa mmarekani 😄
 
Hivi canada nayo ipo ulaya
 
Wakati wazungu na umoja wao wanamtete Ukraine, EAC wanamuhofia PK na kuiacha DRC ,Sudan wazichape
 
NATO iko weak sana, wanashindwaje kupambana na Russia?
NATO ilianzishwa kwasababu ya tishio la Urusi ya enzi hizo, hapo USA alikua mwana chama, tena mwana chama aliyekua anachangia over 860B za bajeti yao, zaidi ya nusu ya bajeti yote ya NATO, kajitoa; bado unaiona NATO yenye nguvu baada ya USA kujiondoa?
 
Yep! 👏🏾 Kumekucha. Canada will replace US (kwa dream lakini nadhani niliota itakuwa hivyo)
Nafikiri vita sio ushabiki, siku zote tuombee iishe kwa haraka iwezekanavyo na si kushabikia wanaoumia ni raia
Tukirudi kwenye hoja yako Canada ipo tayari kutoa 5B usd kama loan siyo msaada wa free tena kwa awamu awamu, hawezi kureplace US hata kidogo ambaye ameshatoa 350B usd

Huo utakuwa ni ushabiki na si uhalisia
NATO bila US bajeti yao kwenye vita kama hii si ya kutosha achilia mbali Canada peke yake.
 
Yes, nibora wajue wenyewe kuliko kuwahusisha Marekani.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mmarekani hua anauma taratibu,yule Zelenskyy atakuja jutia cku moja,atakuja fanyiwa kitu mpk ajutie,kinachompa Kiburi nikwakua ni myahudi sawa na Netanyahu ndio maana yupo tyr kuuza nchi lkn aonekane ameshinda.
Mbaya zaidi US walimtumia kumchokoza Putin wakiwa na nia ya kuchukua malighafi
 
ww unajuwa zaid ya mataifa ya Ulaya ? we endelea kumsubir Kagame afike Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…