Kwa mara ya kwanza katika historia, Viongozi wakuu wa Ulaya, Canada na Australia wakutana kujadili namna ya kuisaidia Ukraine bila kumwalika Marekani

Zele anakuzid akili , Zele sio Bi Chura anaechagua kuish kama mtumwa , Wazungu wanaheshimu swala la uhuru wao na ndio maana hakuogopa akaamua kumkabili Putin , ila nyiny mnamuogopa Rwanda , Rwanda hatoishia DRC maana alianzia Uganda , kesho ni Tz
 
US kujitoa kweny hii vita , kunaenda mtoa kwenye ushawishi wake barani ulaya , wazungu sio wehu kama ww , hapo wanamtia presha ajue wa kuongea nae ni Ulaya na sio Marekanj , maana hiyo ni vita ya Ulaya , ingekuwa ni vita ya Afrika wazungu wala wasingejisumbua kuendelea kutuma pesa , wazungu walishapitia madhira ya viongoz kama Putin , kumbuka Napoleon , Hitler kisha Stalin wa Urusi , wote hawa walijitanua kila walipoachiwa kuteka sehem moja waliitaka na sehem nyingine pia , So wanajuwa Urusi alipoteka Crimea aliachwa kisha akaona inaezekana kuteka Ukraine nzima. kesho angeamia Poland au Finland au Georgia ambapo pia alipora eneo mwaka 2008 ,Ulaya hawatakubali mpk Putin asalim amri kwa kuweka silaha chini la sivyo wazungu hawatokubali Atokee Napoleon mwingine au Hitler mwingine anaekuja kuvuruga balance of power ya Ulaya

KWENYE VITA SIO LAZIMA KUSHINDA , MUDA MWINGINE KUMCHOSHA ADUI KUNAMKIMBUSHA KUWA VITA NI GHARAMA NA KUMFANYA ASIPENDE VAMIA WADHAIFU

ILA HUKU MAZIWA MAKUU BWANA TALK ANAACHIWA ANAELEKEA KINSHASA , KESHO ATATAMANI NCHI NYINGINE KWA HOJA NYINGINE MAANA WATU WAKE WAPO KOTE MAZIWA MAKUU
 
Russia ni dubu hatari sana
1. Kwanini hataki Ukraine ajiunge na NATO?

3. Kwanini hajaikamata Ukraine mpaka sasa pamoja na kuwa dubu hatari??

3. Kwanini hataki Uingereza ipeleke vikosi vya kulinda amani huko Ukraine??

4. Hofu yake ni ipi hasa?

× Tunasubiri majibu ×
 
Kwanza inaonesha haujui Geopolitics, unahitaji muda sana kukuelewesha

Pili kumuelewesha mtu ambaye anatumia matusi kwenye hoja yake ya kwanza ambayo wala haina uhalisia siyo kawaida yangu, unawezaje kumuita mtu mwehu tena anakuzidi kwa hoja.
 
 
Wanatwanga maji kwenye kinu bora hizo fedha za misaada wazipeleke Gaza au kwa waasi wa FDLR ili wamfurushe Kagame
 
Kwanza inaonesha haujui Geopolitics, unahitaji muda sana kukuelewesha

Pili kumuelewesha mtu ambaye anatumia matusi kwenye hoja yake ya kwanza ambayo wala haina uhalisia siyo kawaida yangu, unawezaje kumuita mtu mwehu tena anakuzidi kwa hoja.
ww unaejuwa sion hoja yako , Mm ni ProWest ila TRUMP kaferi kweny hili
 
Putin amewavuruga vichwa! Ukitaka kumua nyoka una deal na kichwa kwanza! Yaani kama US bosi wao ameachia ngazi UK,EU na NATO watafanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…