Kwa mara ya kwanza natofautiana na Mange Kimambi juu ya msimamo wa Iran

Kwa mara ya kwanza natofautiana na Mange Kimambi juu ya msimamo wa Iran

Kwa nini hukumu iwepo?

Mungu angeumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kuwapo hukumu ingekuwapo?

Kwa nini Mungu kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kuwapo wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujajibu swali hili.

Sifikiri hata kama unalielewa swali.

Kwa majibu unayotoa, hujalielewa swali bado.
Yeye ndiye ametaka mabaya yawepo na ndiye ametaka hukumu iwepo
 
Muanzilishi wa serikali ya kidini au iliyokuwa na uhusiona na mbinguni alikuwa Mtume Muhammad (S.A.W)na hiyo serikali ilihasisiwa kwenye mji wa Madina ambapo aliishi na baadhi ya wayahudi lakini hakuwalazimisha kuingia kwenye Uisilamu ila walikubaliana katika swala la ulinzi endapo atavamiwa na madui,na hata Irani kuna baadhi ya watu wa madhehebu tofauti umeshawahi kusikia wanalazimishwa?
Lakini Israeli imepitisha sheria ya mtu yoyote yule atakayeabudu kwa jina la Yesu kwenda gerezani,umeshawahi kusikia Uisilamu umefanya hivyo
🙂🙂 Sijui ni nyie Waislamu wa Africa au Tanzania tu ndio mnakuwa wanafki, hili ni la kujiuliza kweli?!

Ukiwa raia wa dola za kiislamu ukipata ukweli mpya ukaacha uislamu jela au kifo ni hukumu yako.

Hamjui historia na ikiwa hata wazi mnasema ni ya uongo😛.

Unaweza kujenga kanisa au hekalu la kihindi Saudi, UAE, Oman au Iran jibu ni HAPANA.

Unaweza kujenga msikiti katika mataifa ya ulaya na Marekani jibu ni NDIO, sababu waliamua kuwa secular, dini ibaki kuwa ya mtu. Kwa kuwa kuna wazungu wanataka kuwa Waislamu, kwanini uwanyime suala hilo?
 
Yeye ndiye ametaka mabaya yawepo na ndiye ametaka hukumu iwepo
Sawa ametaka. Kwamba ametaka au hakutaka si hoja.

Sijauliza Mungu ametaka au hajataka hivyo.

Unajibu swali ambalo sijakuuliza, wakati swali ambalo nimekuuliza hujajibu.

Kama unamuelewa Mungu wako, inatakiwa uelewe kwa nini alitaka kuumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na mabaya, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya na hauwezekani kuwa na mabaya.

Ukishindwa kujibu swali hili, ukitupa majibu ya "yeye alitaka", majibu ambayo yanajibu swali la "alitaka au hakutaka" ambalo si nililouliza mimi, na majibu ambayo hayajibu swali la "kwa nini alitaka hivyo?", unatuonesha kuwa humuelewi Mungu wako na pia hujaelewa swali langu.

Kama huelewi swali langu, utalijibu vipi?

Na kama humuelewi Mungu wako kiasi cha kuweza kujibu swali hili, utajuaje kuwa Mungu huyo yupo kweli?

Huoni kuwa kama unashindwa kujibu maswali kama haya unaweza kuwa unamuamini Mungu ambaye hayupo?
 
Hiyari yake
Acheni hizo bana dini yenu historia inaonyesha uchinjaji wa kulazimisha watu.
Ipo wazi kabisa Wayahudi Jerusalem ni yao, uislam uli force pale, wakaja waroma waka force kuwaondoa waislam akaja Ottoman na fujo zake.

Watu wakajua Jews wamekata moto, kumbe wapo wanaangalia namna ya kuji restore 1948

Wakristo, Waislamu na Mataifa mengine wawaachie wayahudi haki yao kwao. Mfano Ilipo Masjid Al Aqsa ndio ilipokuwa Temple Mountain ya Wayahudi. Wailamu wanasema Al Aqsa ilijiengwa na nabii Adam, ikajengwa tena na nabii Ibrahim na baadae King Suleiman.

Kisha Al-Aq Umayyad Caliphate karne ya 8 wakajenga ambayo kimsingi ndio structure mpya iiliyoendelea, na mtume hakusali humu. Alisali katika hayo ya zamani likiwa ni eneo takatifu.
Ukirudi katika fact Wayahudi walikuwa kisali eneo lile kabla ya 'Waislamu wa Mtume Mohammed'.

Nimeita "Waislamu wa Mtume Muhammmed" kukwepa dhana ya kuambiwa manabii wote walikuwa waislamukwa kuwa walimuamini Mungu mmoja.

Kama King Seleiman hadi quran inamtambua ni Bani Israel na alijenga pale, basi tayari iko wazi pale ni pao na kwao.
WAKRISTO,WAISLAMU NA MATAIFA KAMA IRAN WAACHE KUWASUMBUA WATU WALE
 
Tofautisha unapokuwa katika inchi ya kidini hawatakulazimisha kuswali ila utalazimishwa uvae mavazi ya kujistiri,chukulia mfano unaweza kwenda beach na mama yako hata kama kavaa vitenge halafu mkawa mnaona wanawake wengine wamevaa vichupi hivi mtatizamana vipi na mama yako au mwanao?
Kwa nini ulazimishwe kuvaa mavazi kwa namna ya Kiislamu??
Kwa nini wasitenge beach kwa ajili wanawake wanaovaa vitenge na niqab tu na beach ambazo wanawake wanaruhusiwa kuvaa vyovyote??
 
Ukishaona mgawanyiko kwenye dini tu, ujue hapo hakuna Mungu hizo ni siasa za watu tu, ni kama CCM na CHADEMA wanashindana.

Dini ni siasa ya kale iliyovishwa joho la utakatifu wa Mungu asiyethibitishika.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwapo, wote tungemjua, tungemjua bila utata, na kusingekuwa na dini wala madhehebu tofauti.

Hizi habari za hawa Shia, hawa Sunni, hawa Katoliki, hawa Protestant, hawa Buddhist, hawa Hindu, zinaonesha hizi dini zote ni hadithi za kutungwa na watu tu, watu wanapambana na hali zao, wanataka kutawalana, na huyo Mungu hayupo.
Upo sahihi kabisa kiongozi, dini ni biashara za watu, dini ni utumwa mambo leo, nashukuru wengi tunaanza kujielewa na kujikomboa.
 
Kwa nini ulazimishwe kuvaa mavazi kwa namna ya Kiislamu??
Kwa nini wasitenge beach kwa ajili wanawake wanaovaa vitenge na niqab tu na beach ambazo wanawake wanaruhusiwa kuvaa vyovyote??
Ukimwambia mtu kwamba mavazi ya kiisilamu anafikiri labda ni kanzu na baibui,hapana tumefundishwa na Mwenyezi Mungu kupitia mtume wake mwanaume avae nguo itakayofunika kuanzia chini ya magoti yake mpaka juu ya kitovu chake,na mwanamke afunike kichwa nguo isimbane ikachora mwili wake na iichie chini ya kongo zake za miguu,sasa ubaya uko wqpi?
Au unataka dada,mama,shangazi,mtoto wavae nguo iwabane mpaka kitumbua kionekane? Au uende beach na mtoto wako kike amevaa kichupi sehemu yote ya mbele iko wazi na matako yanaoneka huo ndiyo mnaita ustarabu? Kwangu mimi ni ujinga
 
🙂🙂 Sijui ni nyie Waislamu wa Africa au Tanzania tu ndio mnakuwa wanafki, hili ni la kujiuliza kweli?!

Ukiwa raia wa dola za kiislamu ukipata ukweli mpya ukaacha uislamu jela au kifo ni hukumu yako.

Hamjui historia na ikiwa hata wazi mnasema ni ya uongo😛.

Unaweza kujenga kanisa au hekalu la kihindi Saudi, UAE, Oman au Iran jibu ni HAPANA.

Unaweza kujenga msikiti katika mataifa ya ulaya na Marekani jibu ni NDIO, sababu waliamua kuwa secular, dini ibaki kuwa ya mtu. Kwa kuwa kuna wazungu wanataka kuwa Waislamu, kwanini uwanyime suala hilo?
Tatizo hamjui nini maana ya Uisilamu mnaochukulia juju tu ukitaka usome uelewe hauko kama dini zingine
Mtume Muhammad (S.A.W)alipopewa utume kazi yake ilikuwa kupingana na washirikina,yaani wale waliokuwa wanaabudu masanamu kwenye nyumba ya Mungu alkaba waliokuwa wanafata mira za ujahili kuzika watoto wa kike na mambo chungu nzima machafu,kumbuka kuna Maswahaba mwanzoni kabisa wa utume wa mtume walikimbilia Ethiopia na kupewa hifadhi huko na ilikuwa kanisani,na alipokwenda Madina sababu ulikuwa mji wa mchanganyiko wa Wayahudi na makabila mengine aliwakuta wanaabudu na kusali kama kawaida hakuwakataza sasa kuna mambo mengine huwa mnakuza sana sijui kwa sababu gani?
 
Serikali ya Iran ili ua waandamanaji zaidi ya 6000, Mange na watz wapenda Haki hatusapoti ukiua waandamanaji
Laana ya kua waandamanaji itaitafuna Iran na Tz Karma is real
mnavyojua kutaja namba za wenzenu,na Israeli wamekufa wangapi toka mashambulizi ya Irani yaanze?
 
Acheni hizo bana dini yenu historia inaonyesha uchinjaji wa kulazimisha watu.
Ipo wazi kabisa Wayahudi Jerusalem ni yao, uislam uli force pale, wakaja waroma waka force kuwaondoa waislam akaja Ottoman na fujo zake.

Watu wakajua Jews wamekata moto, kumbe wapo wanaangalia namna ya kuji restore 1948

Wakristo, Waislamu na Mataifa mengine wawaachie wayahudi haki yao kwao. Mfano Ilipo Masjid Al Aqsa ndio ilipokuwa Temple Mountain ya Wayahudi. Wailamu wanasema Al Aqsa ilijiengwa na nabii Adam, ikajengwa tena na nabii Ibrahim na baadae King Suleiman.

Kisha Al-Aq Umayyad Caliphate karne ya 8 wakajenga ambayo kimsingi ndio structure mpya iiliyoendelea, na mtume hakusali humu. Alisali katika hayo ya zamani likiwa ni eneo takatifu.
Ukirudi katika fact Wayahudi walikuwa kisali eneo lile kabla ya 'Waislamu wa Mtume Mohammed'.

Nimeita "Waislamu wa Mtume Muhammmed" kukwepa dhana ya kuambiwa manabii wote walikuwa waislamukwa kuwa walimuamini Mungu mmoja.

Kama King Seleiman hadi quran inamtambua ni Bani Israel na alijenga pale, basi tayari iko wazi pale ni pao na kwao.
WAKRISTO,WAISLAMU NA MATAIFA KAMA IRAN WAACHE KUWASUMBUA WATU WALE
Hivi kuna dini iliyochinja watu wengi kwa kulazimisha waiamini dini yao kama Romani?
 
Uislam ni mmoja tu ulimwengu mzima hauna DHEHEBU, Shia sio Waislam.
Kwani nini maana ya dhehebu?

So, unataka kusema kwamba, Shia Islam wao hawaamini katika Quran, Mtume Muhammad SAW wala nguzo 5 za Uislamu?

Pia naomba uniambie utofauti wa Shia na Sunni?
Je ilikuwaje ikawa hivyo kwamba wengine waliamini kwamba baada ya Mtume Muhammad basi uongozi wa Islam ulipaswa kwenda kwa Abu Bakr na wengine waliamini kwamba alipaswa kuwa Ali bin Twalib?

As far as I know, that is the main difference between Shia Islam na Sunni Islam, ila wote wanaamini katika Quran hiyo hiyo, wote wanaamini katika nguzo 5 hizo hizo za Uislamu na wote wanaamini katika Mtume Muhammad SAW.
 
Hivi kuna dini iliyochinja watu wengi kwa kulazimisha waiamini dini yao kama Romani?
Ni kweli unachosema sipingi kuhusu Roman nao pia waliwaua Jews kwao, kuna sehemu nimegusia kuwa tuwaache Jews ktk haki zao, watu waliwafata kwao. Mfano unakuta mtu anasema wauwawe na asilimia takribani 18 ya Jews ni waislamu pia
 
Sawa ametaka. Kwamba ametaka au hakutaka si hoja.

Sijauliza Mungu ametaka au hajataka hivyo.

Unajibu swali ambalo sijakuuliza, wakati swali ambalo nimekuuliza hujajibu.

Kama unamuelewa Mungu wako, inatakiwa uelewe kwa nini alitaka kuumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na mabaya, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya na hauwezekani kuwa na mabaya.

Ukishindwa kujibu swali hili, ukitupa majibu ya "yeye alitaka", majibu ambayo yanajibu swali la "alitaka au hakutaka" ambalo si nililouliza mimi, na majibu ambayo hayajibu swali la "kwa nini alitaka hivyo?", unatuonesha kuwa humuelewi Mungu wako na pia hujaelewa swali langu.

Kama huelewi swali langu, utalijibu vipi?

Na kama humuelewi Mungu wako kiasi cha kuweza kujibu swali hili, utajuaje kuwa Mungu huyo yupo kweli?

Huoni kuwa kama unashindwa kujibu maswali kama haya unaweza kuwa unamuamini Mungu ambaye hayupo?
Wewe unaweza ukajibu kwa nini huyo mtu afanye maovu na wengine wasifanyaje?
 
Wewe unaweza ukajibu kwa nini huyo mtu afanye maovu na wengine wasifanyaje
Nani hafanyi maovu?

Unaweza kutoa mfano wa mtu mmoja ambaye hafanyi maovu?

Na kwa nini unaona maovu ni kitu cha kufanya tu?

Unaelewa hata maovu ni nini?

Mungu angeumba ulimwengu ambao maovu hayawezi kufanyika, kuna mtu angeweza kufanya maovu?
 
Kuna kufanya maovu madogo au machache ambayo hayawezi kukufanya ukahukumiwa na wale wanaofanya maovu makubwa na mengi?

Mimi nawaulizia wale wanaofanya maovu mpaka wakastahili kuhukumiwa kwa nini wafanye maovu?
 
Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao maovu yanaweza kufanyika, wakati alijua na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezi kutokea kabisa?

Hujajibu swali hili.

Umeishia kusema hivyo ndivyo alivyotaka.

Nimekuambia kama alivyotaka au hajataka si swali.

Swali ni, kwa nini alitaka kuumba hivyo?

Hujajibu swali.
 
Unauliza kwa nini alitaka kuumba hivyo?
Wewe ulitaka aumbe vipi?
Hili si suala la mimi ninavyotaka aumbe, ni suala la kuhoji logical consistency ya maelezo yenu ya kuwapo Mungu.

Ukisema utaenda kulia, halafu ukaenda kushoto, nikikuhoji mbona ulisema utaenda kulia halafu ukaenda kushoto, kukuhoji hivyo si kwa sababu nataka uende kulia, ni kwa sababu ulichosema na ulichofanya ni tofauti nakuhoji kuondoa contradiction tu.

Inaonekana wewe mwenyewe humuelewi huyo Mungu unayesema yupo. Ndiyo maana unashindwa kuelezea kwa nini Mungu kaumba hivi hakuumba vile.

Ndiyo maana hata ninapokuuliza kwa nini Mungu mnasema kaumba ulimwengu unaoruhusu mabaya, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu usioruhusu mabaya, na actually ulimwengu huo usioruhusu mabaya ndio uko logically consistent na sifa zake, huwezi kujibu.

Sasa kwa nini Mungu kaumba ulimwengu ulio na contradiction kwa kutazama sifa zake, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao hauna contradiction yoyote na sifa zake?

Hujajibu swali.

Sina hakika hata kama umelielewa swali.

Sina hakika hata kama unaelewa uovu ni nini.
 
Ukisema utaenda kulia, halafu ukaenda kushoto, nikikuhoji mbona ulisema utaenda kulia halafu ukaenda kushoto
Ndiyo maana nikakuuliza kwani Allah alikuambia kuwa ataumba ulimwengu usio na maovu mpaka uhoji kwa nini ameumba ulimwengu wenye maovu?
Hujajibu swali.
Wewe mwenyewe hujajibu kwa nini huyo mtu afanye maovu na asifanye mema?
 
Back
Top Bottom